Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Indelea kujiliwaza

Endelea kujiliwaza hv unajua kwanini Israeli anabonda Iraq anabonda Syria anabonda Gaza anabonda Yemen anabonda Lebanoni wapo kimywa Irani anaogapo hata kuinua helicopter kupiga Israeli???
Angalia ulivyo kipofu Iran mwaka huu kaitwanga israhell Mara ngapi au unasema israhell ipi
 
Ni kweli wahuni wanajificha nyuma ya raia kama Wana nguvu wange Kaa peke Yao kama Ukraine wanavo Fanya sio kujificha kwa akina mama
Ingekuwa palestine ipo uru mipaka yake tungeona ungeona wangekuwa zaid ya Ukrain Gaza wqpo jela lkn wameshangaza Dunia
 
+baadhi ya oparation za leo kama kawaida tunaitafuta 30+ operation

🟡 8. 04:30 PM - Rocket Barrage on Maalot Tarshiha:
Hezbollah targeted the Maalot Tarshiha settlement with a rocket barrage in support of the Palestinian resistance and defense of Lebanon.

🟡 9. 05:30 PM - Rocket Salvo South of Khiam (Second Strike):
Hezbollah targeted a gathering of Israeli forces south of Khiam for the second time with a rocket barrage.

🟡 10. 05:50 PM - Rocket Salvo South of Khiam (Third Strike):
Hezbollah targeted Israeli forces south of Khiam for the third time with a rocket barrage.

🟡 11. 05:40 PM - Rocket Salvo South of Khiam (Fourth Strike):
Hezbollah targeted Israeli forces south of Khiam for the fourth time with a rocket barrage.

🟡 12. 06:45 PM - Missile Salvo South of Khiam (Fifth Strike):
Hezbollah targeted Israeli forces south of Khiam for the fifth time with a missile salvo.

🔹@enemywatch

+
 
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon

Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.

View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo

Una uhakika? Mbona leo wameondoa na kichwa cha msemaji wa Hizibula ndungu na shehe Mohamed Afif

Msemaji wa Hezbollah Auwawa kwenye shambulio la Anga la Jeshi la Israel

Una uhakika? Mbona leo wameondoa na kichwa cha msemaji wa Hizibula ndungu na shehe Mohamed Afif

Msemaji wa Hezbollah Auwawa kwenye shambulio la Anga la Jeshi la Israel

Kwa hio kumuwa msemaji wa habari ndio ubabe 😄 Huyo kwanza sio askari hapo ndio inaonyesha vipi Israel kafilisika hajui.target za kijeshi au za civilian. Yeye anadhani kupiga civilian target ndio ushindi. Haya we tuambia huyo msemaji wa Hezbullah kamua kapata nini, ili asifance press conference au 😄
 
Tena awajamaa zetu hii habari wanataka iyonekane ya kishujaa kuuwa mwandishi tu faida yake sijui nn adi wameshobokea ili tukio mtu kakimbia vita vya chini anaenda kuuwa mwandishi habari !!!
 
Tena Hezbullah na Zayuni wanashambuliana kwa kupeana vijiti jana zayuni kapiga sana Lebanon sasa izi siku mbili tutasikia uko Israel wanavominywa kijiti sasa anacho Hezbullah asituangushe tunakata Zayuni adi 2025 waishi kwenye mashimo tu wakimbizane na panyabuku Akili zao ni km panyabuku tumewalazimisha waingie mashimoni kwajamaa zao panyabuku adi 2025😰😰😰😰
 
Angalia ulivyo kipofu Iran mwaka huu kaitwanga israhell Mara ngapi au unasema israhell ipi
Katwanga Nini? Leta ushahidi saivi Israeli kamtwanga Irani kamuacha uchi saivi Ayatola anamawazo sana maana mwisho wake umefika akirudishia tu kajitoa muhanga anaondoka madarakani
 
Ingekuwa palestine ipo uru mipaka yake tungeona ungeona wangekuwa zaid ya Ukrain Gaza wqpo jela lkn wameshangaza Dunia
Wameshangaza Dunia kwa kuua na kuteka raia wametuulia na mtanzania wetu
 
Ingekuwa palestine ipo uru mipaka yake tungeona ungeona wangekuwa zaid ya Ukrain Gaza wqpo jela lkn wameshangaza Dunia
Mipaka ndo Nini swali wanashikilia ardhi ganj mpaka sasa?
 
Katwanga Nini? Leta ushahidi saivi Israeli kamtwanga Irani kamuacha uchi saivi Ayatola anamawazo sana maana mwisho wake umefika akirudishia tu kajitoa muhanga anaondoka madarakani
Nenda ka google utaona katwanga nini hem leta picha tuone Iran iloachwa uchi
 
Nenda ka google utaona katwanga nini hem leta picha tuone Iran iloachwa uchi
Siyo kazi yangu kutafuta huko google ila mi nakuleta kupigwa kwa Uran mpaka nasikia Ayatolaha kapata mstuko wa moto huko na sijui Hali yake kwa sass
Nenda ka google utaona katwanga nini hem leta picha tuone Iran iloachwa uchi
Usitume Mimi nenda katafute wewe ila Mimi ushahidi wangu huu hapa

"Je picha za satelaiti zinaonyesha nini kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran? - BBC News Swahili" Je picha za satelaiti zinaonyesha nini kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran? - BBC News Swahili
 
Kweli kamanda, hakuna kama Hezbollah. Israeli kashindwa vita kaishia kuua makamanda wa Hezbollah nà wanawake na watoto.
Akili zingine kweli urojo, yaani makamanda wenu wauliwe halafu useme wameshinda vita
 
Back
Top Bottom