Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Usiteseke wewe utaishi mileleSawa wamwaga damu tunawafahamu sasa nanyie mkiuliwa msilalamike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiteseke wewe utaishi mileleSawa wamwaga damu tunawafahamu sasa nanyie mkiuliwa msilalamike
Baada ya makamanda kufa vita imeishaAkili zingine kweli urojo, yaani makamanda wenu wauliwe halafu useme wameshinda vita
Pole mzayuni wa jfSiyo kazi yangu kutafuta huko google ila mi nakuleta kupigwa kwa Uran mpaka nasikia Ayatolaha kapata mstuko wa moto huko na sijui Hali yake kwa sass
Usitume Mimi nenda katafute wewe ila Mimi ushahidi wangu huu hapa
"Je picha za satelaiti zinaonyesha nini kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran? - BBC News Swahili" Je picha za satelaiti zinaonyesha nini kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran? - BBC News Swahili
Daah, haya bhana Hizbul. Hakuna walichofanyaKwa hio kumuwa msemaji wa habari ndio ubabe 😄 Huyo kwanza sio askari hapo ndio inaonyesha vipi Israel kafilisika hajui.target za kijeshi au za civilian. Yeye anadhani kupiga civilian target ndio ushindi. Haya we tuambia huyo msemaji wa Hezbullah kamua kapata nini, ili asifance press conference au 😄