Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

Kwa hio kumuwa msemaji wa habari ndio ubabe 😄 Huyo kwanza sio askari hapo ndio inaonyesha vipi Israel kafilisika hajui.target za kijeshi au za civilian. Yeye anadhani kupiga civilian target ndio ushindi. Haya we tuambia huyo msemaji wa Hezbullah kamua kapata nini, ili asifance press conference au 😄
Daah, haya bhana Hizbul. Hakuna walichofanya
 
Back
Top Bottom