Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Unaandika kishabiki kama unatoa maelezo ya mpambano wa Simba vs Yanga!Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon
Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.
View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo
okay 🐒Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon
Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.
View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo
Hio ni Breaking news we tega sikio hata BBC na Al Jazeera watasema tu.Tv za kata hizo, leta news za aljazeera
Watakuwa wamefanya jambo la aibu. Walienda kwenye vita kwa target ya kurudisha watu wao kule North hawakurudi mpaa leo. Walitaka Hezbullah waondoke border Hezbullah wapo, hawajarudi mpa mto Letani kama walivyo taka wao. Walipo fanikiwa kwenye pager na kuwaua viongozi wa Hezbullah, wakasema hatusimamishi vita mpaa Hezbullah awe disarmed. Hayo yote hakuna alicho fanikiwa. Kwa hio kashindwa vita.Unaandika kishabiki kama unatoa maelezo ya mpambano wa Simba vs Yanga!
Kwani Israel wakisimamisha vita ama kuachana navyo, wanakuwa wamefanya jambo la aibu?
Trump kwani kisha shika madaraka, afu mnamkuza huyo mbele ya Hezbullah na Al Houthi hana lolote. Hata Iran atamchapa Israel nyie tegeni masikioa True Promise 3 ipo njiani.hio ndio dawa ya makobazz....mwamba trump aongeze doziii
Kweli kamanda, hakuna kama Hezbollah. Israeli kashindwa vita kaishia kuua makamanda wa Hezbollah nà wanawake na watoto.Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon
Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.
View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo
Wanamgambo wa Israel wamekimbia vita Lebanon Hizbollah imewavua nguo 😂😂hio ndio dawa ya makobazz....mwamba trump aongeze doziii
Hii habari chungu kwa walokole na mayahudi meusi hayataki kabisa kisikia hizi habari🤣Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon
Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.
View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo
Usiwe mpuuzi kiasi hicho!Watakuwa wamefanya jambo la aibu. Walienda kwenye vita kwa target ya kurudisha watu wao kule North hawakurudi mpaa leo. Walitaka Hezbullah waondoke border Hezbullah wapo, hawajarudi mpa mto Letani kama walivyo taka wao. Walipo fanikiwa kwenye pager na kuwaua viongozi wa Hezbullah, wakasema hatusimamishi vita mpaa Hezbullah awe disarmed. Hayo yote hakuna alicho fanikiwa. Kwa hio kashindwa vita.
Netanyahu bado anaakili zile za ujima kuwa jesh lake linaweza kila kitu kumbe mambo yamebadilika Sana na walisema watawarudisha watu wa kaskazi kwa mbwembwe ila kilichotokea ni watu wa kaskazin kutorudo na wala wa miji ya kati nao kurudishwa nyumaHabari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon
Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking news kutokana na Israel TV channel 12.
View: https://youtube.com/shorts/XhhX2vgRvaY?si=cCLRefvVPxmGWqTo
Ndio ww usio mpuzi hebu tupe malengo ya hapo LebanonUsiwe mpuuzi kiasi hicho!
Huo ndo ukweli Netanyahu alisema lengo ni kuwarudisha raia wa kaskazini matokeo yake hadi raia wa miji ya kati nao wameondolewaTaifa la Israel halina uwezo wa kupigana vita vya muda mrefu kiasi hicho,hivyo kushindwa kuendeleza vita ni kutohimili mikiki ya vita ,Cha msingi HEZBULLAH wasiache vita hivyo mpaka kieleweke,Mwamba Iran aendelee kuwasaidia kwani USA lazima isaidie Israel kwa tahadhali huku PUTIN akiwa anaendelea na operation yake ya kijeshi huko Ukraine.Dunia haiwezi kuwa salaama kama litakuwa na mataifa ya kinyonge.