Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa Lebanon kabla watu hawajafuta vumbi wakamuua kiongozi mkuu wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran Tehran huku walinzi wake raia wa Iran wakiuliwa.
Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .