Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mtasema yote kipindi hiki.Siyo Israel , ni nchi za Magharibi. Period
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtasema yote kipindi hiki.Siyo Israel , ni nchi za Magharibi. Period
sasa kama marekani kuna wayahudi wengi kuliko walioko israel, unategemea utaipiga israel halafu wayahudi wa marekani wasipigane alongside israel? hapo napo unaita kusaidiwa?Siyo Israel , ni nchi za Magharibi. Period
Viva Israel viva!Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa Lebanon kabla watu hawajafuta vumbi wakamuua kiongozi mkuu wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran Tehran huku walinzi wake raia wa Iran wakiuliwa.
Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .
Ila sio leo wala kesho watambue hiloItawachukua muda mrefu sn warabu kumkata ngebe Israel
Haahahaa hamna cha kuvujisha siri wala nini, Mosad wametumia technology kupata location ya huyo marehemu. Kwa watu wasiojua Teheran na Iran kwa ujumla ni uwanja wa nyumbani wa Israel wana uwezo wa kufanya chochote pale, wameshawahi kuua vibaka kadhaa wa kiarabu na palestina pale.Gazeti la telegraph linasema kuna tetesi walinzi wa Ismaili haneya walivujisha siri mahali alipo na taarifa zaidi zinasema shambulio limetokea sio mbali na alipokuwa mtuhumiwa.
Hii inaonyesha Israel anaweza kushambulia nchi yoyote kutokea ndani bila kutumia silaha nzito za kuuwa raia wasio na hatia.
Inanikumbusha namna Israel walivyokuwa bora katika masuala ya ujasusi .
Tunasoma Kwenye biblia takatifu miaka maelfu iliyopita Moses alitumia wapelelezi 12 kwenda nchi ya kanaani kupeleleza kabla ya kuja kuwavamia na kuteka ardhi .
Tena Joshua akatuma wapelelezi 2 kwenda yeriko na kupokelewa na mwanamke rehabu Lengo likiwa kupeleleza yeriko ili kuja kuvamia na kuteka, kipindi hicho yeriko ilikuwa ndio mji mkubwa na maarufu duniani mfano wa New York au London au Paris ya Leo .
Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .