Haitaweza kutokea.Itawachukua muda mrefu sn warabu kumkata ngebe Israel
Shauri yako...ngoja yaje. Labda yawe yanajiandaa kuswali saa sita hii huko kibaigwaHawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa Lebanon kabla watu hawajafuta vumbi wakamuua kiongozi mkuu wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran Tehran huku walinzi wake raia wa Iran wakiuliwa.
Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .
Na Syria wametoka kufanya yao muda si mrefuHawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa Lebanon kabla watu hawajafuta vumbi wakamuua kiongozi mkuu wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran Tehran huku walinzi wake raia wa Iran wakiuliwa.
Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .
Siyo Israel , ni nchi za Magharibi. PeriodHawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa Lebanon kabla watu hawajafuta vumbi wakamuua kiongozi mkuu wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran Tehran huku walinzi wake raia wa Iran wakiuliwa.
Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .
Ni WA Israeli?Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .
Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa Lebanon kabla watu hawajafuta vumbi wakamuua kiongozi mkuu wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran Tehran huku walinzi wake raia wa Iran wakiuliwa.
Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .
Misri hawezi kupiga ndugu zake. Damu nzito kuliko maji. Unafikiri Yusuph alivyokuwa anatamaniwa na MKE wa farao kwa uzuri wake ,unadhani hata ndugu zake walipokuja utumwanj hawakuacha mbegu?Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa Lebanon kabla watu hawajafuta vumbi wakamuua kiongozi mkuu wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran Tehran huku walinzi wake raia wa Iran wakiuliwa.
Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .
Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele tu .
Jana walimuua kamanda msaidizi wa shehe wa Hezbula ya Lebanon ndani ya mji mkuu wa Lebanon kabla watu hawajafuta vumbi wakamuua kiongozi mkuu wa Hamas ndani ya ardhi ya Iran Tehran huku walinzi wake raia wa Iran wakiuliwa.
Israel sasahivi ameonyesha kumiliki kabisa eneo la mashariki ya Kati .
Hawa waarabu wa sasahivi waliopo misri sio wale wa misri wa zamani za pharaoh na Moses .Misri hawezi kupiga ndugu zake. Damu nzito kuliko maji. Unafikiri Yusuph alivyokuwa anatamaniwa na MKE wa farao kwa uzuri wake ,unadhani hata ndugu zake walipokuja utumwanj hawakuacha mbegu?
Weeeeeh usiniambieHaitaweza kutokea.
Na israel ina nyuklia akibonyeza kitufe waarabu wote wanakuwa majivu .
Watakataje Ngebe taifa lenye nyuklia? Wajifunze namna nzuri ya kuishi na Israel, huwezi sema Israel iondoke middle East, waende wapi?Itawachukua muda mrefu sn warabu kumkata ngebe Israel