Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Paulo aliota vibaya kaingiliwa na majini 72 mpaa akalazimisha mseme Yesu ni Mungu 😄Mwaka huu idadi ya majini 72 itakuwa imepungua Sana huko jahna tul firdaus. Inabidi mnyasanzi aungeze la sivyo wapo watakaokosa uhondo wa kuzagamua katika viwanja vya firidausi maana waliokwenda huko ni wengi
Yesu anawambia jamani eeeh Mungu wetu ni mmoja tu. Paulo akasema pale njia panda yeye yuko chini ya mti lazima kuwe na Damascus, njia panda alipo lala na Jerusalem, akaja na ile formula ya 3=1