ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kinachoendelea mashariki ya Kati ni maandalizi ya Vita kuu ya tatu ya dunia hapo baadae kidogo.
Vita ya 3 ya dunia iko karibu mno. Hii Vita itahusisha silaha za nuclear. Mabomu ya nuclear yatatumika kwenye hii Vita. Sina muda wa kuliongelea Sana.
Nitaliongea hili la taifa la Israel kuzingirwa na mataifa yote ya Kiarabu kwenye kipindi cha Vita ya 3 ya dunia. Mataifa yote ya kiarabu Yakiongozwa na Russia yatajaribu kwa pamoja kuiangamiza Israel. Cha kushangaza, wote watapigwa vibaya Sana. Mataifa kama Egypt, Morocco, Saudi Arabia, Iran, Iraq, Oman, Turkey, Russia nk wote wataungana kujaribu kuiangamiza Israel, Ndani ya muda mfupi wote watapigwa vibaya.
Note: Kuna nguvu kubwa iko nyuma ya Israel. Kujaribu kushindana na Israel, unatafuta kuangamizwa.