Israel atapigana na mataifa yote ya Kiarabu wakiongozwa na Urusi na watapigwa vibaya

Israel atapigana na mataifa yote ya Kiarabu wakiongozwa na Urusi na watapigwa vibaya

Yani umechanganya utumbo na dagaa dooh!
-Suala la Palestina na Israel ni ardhi sio dini,kwasababu hadi makanisa pia yamevunjwa na Israel kufanya upanuzi wa Israel ndani ya ardhi ya Palestina na ukitaka ushahidi tunakupa.Tokea kabla ya 1947 Jerusalem kumepiganwa mapigano tofauti ya kugombea ardhi baina ya wayahudi na waarabu.
-Wakurdi ni kabila ambalo linataka kuanzisha taifa lake lenyewe la kikabila,ni sawa WAARUSHA AU WAMERU watake kuanzisha taifa la kabila lao na wajitenge na Tanzania.Kama kiongozi wewe utakubali?
Ndio maana unaona wanavamia Uturuki,Syria na Iraq,Yani hawana specific target ilimradi popote waanzishe taifa.
Sasa ni kiongozi gani ataruhusu taifa la ukabila na alete mpasuko katika taifa!?
-Darfur ni vita ya RSF na jeshi kuu la Sudan kugombania utawala.

Mukae mtafute vyanzo sio kuongea tu.Hapo Palestina wakristo wenzako wanauawa kwa mabomu na sniper na mpaka makanisa kule Jenin yamevunjwa kupisha upanuzi wa makazi ya Wazayuni.
Mbona sasa wavaa makobasi wote wanawaunga mkono magaidi ya kipalestina?!
 
Iran sio taifa la kiarabu. Acha ushabiki wa kipumbavu. Mgogoro wa Palestine na Israel sio wa kidini ni wa kugombea ardhi lakini baadhi ya wakristo uchwara wanaishabikia Israel wakidhani labda ni wenzao wakati hata hawaukubali Ukristo. Na waislam uchwara wanaitetea palestine na kuipinga Israel kwa sababu ya chuki zao za kidini tu wakati ukweli ni kwamba mgogoro wa nchi hizo mbili ni kuhusu ardhi sio dini.
waislamu wanaamin Jerusalemu ni mji wao mtakatifu na wakristo na wayahudi wanaamini pia huo ni mji wao mtakatifu hapo ndio dini zinapoingilia kwenye huo ugomvi ardhi FYI
 
Kinachoendelea mashariki ya Kati ni maandalizi ya Vita kuu ya tatu ya dunia hapo baadae kidogo.

Vita ya 3 ya dunia iko karibu mno. Hii Vita itahusisha silaha za nuclear. Mabomu ya nuclear yatatumika kwenye hii Vita. Sina muda wa kuliongelea Sana.

Nitaliongea hili la taifa la Israel kuzingirwa na mataifa yote ya Kiarabu kwenye kipindi cha Vita ya 3 ya dunia. Mataifa yote ya kiarabu Yakiongozwa na Russia yatajaribu kwa pamoja kuiangamiza Israel. Cha kushangaza, wote watapigwa vibaya Sana. Mataifa kama Egypt, Morocco, Saudi Arabia, Iran, Iraq, Oman, Turkey, Russia nk wote wataungana kujaribu kuiangamiza Israel, Ndani ya muda mfupi wote watapigwa vibaya.

Note: Kuna nguvu kubwa iko nyuma ya Israel. Kujaribu kushindana na Israel, unatafuta kuangamizwa.
Watoto mliopitia unyanyasaji wa kingono mnaonekana tu hamuwezi kujificha
 
Back
Top Bottom