Takwimu zako sio sahihi.
Vita vyote havianzishwi na Israel huwa vinaanzishwa na mataifa ya kiarabu. Lakini kila Vita Israel hureka maeneo
Vita ya mwaka 1967 Israel iliteka maeneo ya jerusalem mashariki na gokan . Vita ya siku sita ya 1873 ilianzishwa na misri lakini Israel kwa mara ya kwanza walivuka mfereji wa surez na waliteka naeneo ya misri.
Mkataba wa camp David sio kuwa Israel ilishindwa, ule mkataba ulikuwa ni wa kumaliza uhasama na misri kurudishiwa enjoy lake la sinai. Vita ya Lebanon ni kwa sababu ya kuchokozwa na Hizbollah lakini Israel haina madai yeyote na Lebanon kama nchi.
Syria eneo ka golan heights limetekwa na israel na limeunganishwa kuwa sehemu ya Israel hadi sasa.
Jordan kama misri wana mkataba wa anani na Israel.
Israel hzhawahi kuomba po katika Vita.
Kwa kuwa Iran ameaahidi kulipa kisas tusubiri alipe tuone reaction ya israel halafu uje hapa jfi tujadili /tutambiane.
-Nilijua utakataa tu,vita YA 1973 ISRAEL walipigwa na Israel ilipata hasara kubwa sana kiasi wanajeshi wengi wa Israel waliangukia mateka wa Egypt.
Israel mpaka WAZIRI MKUU WA ALIJIHUZURU kwa ile aibu ya kupigwa pale Sinai.
Ndio Israel alipenya mpaka Suez ila hakuweza kuishikilia hiyo Suez Canal kwasababu vita ziliendelea kuirejesha asilimia 20 ya Sinai iliyobaki.
Nenda kajiulize kwanini yule mwanamama ALIJIHUZURU kuwa waziri mkuu wa Israel?
Huo mkataba wa Camp David ulilenga kurejesha amani na kurejesheana mateka na kusitisha mashambulizi ya anga ya Israel nchini Syria.
Maana katika hiyo vita Syria ndio alionekana kuelemewa ila Egypt alionekana kumdhibiti haswa Israel.
Kama camp David isingesainiwa hadi sasa wanajeshi wa Israel wangekua wamezeekea jela za Cairo Misri.
-1967 six days war iliyopiganwa kama sijakosea February 5-10 Israel intelijensia yake ilipata taarifa kuwa Egypt ilijenga airbase Sinai peninsula,na ilinunua 200 fighter jets za Soviet,pia Syria ikijiandaa kwa vifaru Gollan heights ili maandalizi yakitimia waivamie Israel.
Sasa Israel aliwawahi kwa kutumia ndege vita za American made kwa kuteketeza airbase nzima ya Egypt pale Sinai,na ndipo Sinai ikaangukia Israel.Ila sio Suez Canal.Japo Sinai Suez Canal nayo inapita.Na pia Israel ikahamia na jeshi lake la anga likateka eneo la Gollan heights.Lilitaka liende ndani zaidi ya Syria rais wa USA wa muda ule akalizuia jeshi la Israel ndio tarehe 10 Feb wakasitisha mashambulizi ya anga.
Alipoingia Anwar Sadat ndio aliahidi kuikomboa Sinai ndipo 1973 October alifanya uvamizi mkubwa kwa vifaru vya Soviet na kuliteka eneo kubwa la Sinai,na askari wa IDF wengi sana waliangukia kuwa mateka wa Misri.
Inamaana mpaka unapoteza asilimia 80 ya eneo ulilokua umelimiki ni sawa umeshindwa.IDF hawakuweza kuirudisha Sinai badala yake waliamua kujikita katika eneo lililobaki ambalo linapakana na Rafah,wakaweka strong buffer zone pale waki repel mashambulizi ya Egypt.
-2006 Kamanda wa Hizbollah alikamatwa na Israel,Hizbollah ilivamiwa mpaka wa Israel ikaua askari nane wa IDF na kukamata wanne kama mateka.Ili kamanda wao na wafuasi wenzao wawili waachiwe na Israel.Israel ilikataa na kufanya mashambulizi ya anga katika maeneo yote wanayodai kuwa yanamilikiwa na Hizbollah.
Hizbollah ikafanya retaliation,Israel ikaamua kurudi bint jubeir ambapo 2000 iliondoka kwa hiari yake kwa mazungumzo ya amani,ikarudi pale ili kuweka buffer zone bint jubeir,ila ikaishia kupoteza makamanda 78 na wakarudi nyuma hadi Shebah farms ambapo waliweka buffer zone ku repell mashambulizi ya hizbollah,maana Hizbollah walidai hadi Shebah farms ni yao na watarudisha kwa mtutu wa bunduki kama walivyoirudisha Bint Jubeir.
Wakati huo Israel ilifeli kubaki bint jubeir na kuokoa makamanda wake wanne ambao wawili walikufa kwa majeraha wakabaki wawili.
At the end USA ndiye aliingilia kati na wakafanya prisonal swap.
Kamanda wa Hizbollah akaachiwa na wafuasi wake wawili na makamanda wa IDF wakarudi Israel.
Aya niambie hapo nani kaishindwa!?
-Kuhusu mataifa ya kiarabu kuwa na mkataba wa amani na Israel hiyo haipingwi yapo.
-Ulisema kuwa waarabu wanahusika na vita zote?
Kaka unajua chanzo cha waarabu kumuanzishia vita Israel?
1946 Wayahudi wa Jerusalem walifeli mapinduzi ya kijeshi juu ya British Palestine mandate,1947 UK na USA waliunda ramani ya mataifa mawili Israel na Palestina,Jerusalem ikigawanywa mara mbili kila mtu akichukua eneo lake na Palestina ilitaka mji mkuu uitwe vivyo hivyo Jerusalem,kiongozi akiwa Yasser Arafat.Kipindi Yasser Arafat anahangaika Palestina itambuliwe UNO Israel 1948 ikaanza millitary expansion of zionism settlements.
Na wakuu wa Israel wakisema uarabuni kuna ardhi nyingi waende sio lazima wabaki hapa.
Walianza kuimega ramani ya Palestina kuanzia Gaza,kipindi hiko Gaza ilikua mkoa mkubwa sio kijieneo kidogo kama sasa.Yasser Arafat wakamkatalia kuitambua Palestina kama taifa huru,Israel ikaendelea kumega eneo kidogo kidogo.
-1958 Israel ilijihusisha na Syria ama Damascus crisis,kipindi kile kiongozi akiwa babaye Bashar Assad.
Hapo ndipo Syria napo ilipoanza uhasama na Israel.
-Israel ni mkorofi sana huwenda huu mzozo hukufuatilia vema.