Israel: Gaidi aliyevaa begi lenye mabomu ya kujitoa muhanga alipuka kabla halijafikia eneo lililojaa watu

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana.

Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa.

Kuna possibilities zifuatazo
  • yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu
  • Mossad wana teknolojia ya siri iliyoweza kuingilia mfumo wa bomu na kumlipua sehemu salama
  • Alistuka mwishoni kutambua mafundisho aliyopewa ya kula raha peponi kwa kujitoa muhanga ni uongo.
Video inatisha inaonesha vipande vyake, fungua kwa tahadhri

1724183232962.png

Hawa jamaa wajinga sana...........yaani kweli ukiwa wa dini ile basi wewe ni sawa na hamnazo......eti wanagombania kuchungulia kwenye tobo........!!!! Lahaulaaaaaa........mi nikajua connection ya mudi bikra 72 peponi...........sasa ukijilipua hivyo ndio nini?? Unamkomesha nani?? Ujinga mzigo vitukuu vya mwamedi
 
Naona Hamas baada ya kugalagazwa vibaya kule Gaza, wameamua kuja na mbinu ya kigaidi zaidi ya kutuma suicide bombers ndani ya Israel.
Hii mbinu walishawahi kuitumia miaka ya 2000 mwanzoni ila Israel walifanikiwa kuidhibiti na kujenga ukuta wenye ulinzi mkali
 
Hawa jamaa wajinga sana...........yaani kweli ukiwa wa dini ile basi wewe ni sawa na hamnazo......eti wanagombania kuchungulia kwenye tobo........!!!! Lahaulaaaaaa........mi nikajua connection ya mudi bikra 72 peponi...........sasa ukijilipua hivyo ndio nini?? Unamkomesha nani?? Ujinga mzigo vitukuu vya mwamedi
Dini haina shida unavyoweza kuiabudu bila kudhuru wengine

Tatizo dini zimeingiliwa na radical extremists, wanadanganya watu eti ukiua waisrael ni moja kwa moja mbinguni kula raha, Mtu kabla hajajipua utamsikia Allah Akbar, baada ya hapo ni maafa.

Sina tatizo na waislam bali hawa vichaa wanaogeuza dini kutumia watu kutekeleza maovu yao, Kiongozi wa Hamas yupo anakula maisha mbali na Gaza kwa pesa wanazopewa za miradi ya kijamii
 
Maandiko ya hiyo dini yanasupport hayo matendo ya kigaidi.

Kimsingi, hao extremists ndiyo wanafuata maandiko halisi ya kiislamu. Hawa wanojifanya wa amani ni mediocres tu. Uislamu is about 'be one of us or die'.

Kumbuka uislamu umeanzishwa na warlord.
 
Hawa jamaa wajinga sana...........yaani kweli ukiwa wa dini ile basi wewe ni sawa na hamnazo......eti wanagombania kuchungulia kwenye tobo........!!!! Lahaulaaaaaa........mi nikajua connection ya mudi bikra 72 peponi...........sasa ukijilipua hivyo ndio nini?? Unamkomesha nani?? Ujinga mzigo vitukuu vya mwamedi
Inasikitisha Sana aisee
 
Back
Top Bottom