From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana.
Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa.
Kuna possibilities zifuatazo
Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa.
Kuna possibilities zifuatazo
- yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu
- Mossad wana teknolojia ya siri iliyoweza kuingilia mfumo wa bomu na kumlipua sehemu salama
- Alistuka mwishoni kutambua mafundisho aliyopewa ya kula raha peponi kwa kujitoa muhanga ni uongo.