Israel: Gaidi aliyevaa begi lenye mabomu ya kujitoa muhanga alipuka kabla halijafikia eneo lililojaa watu

Israel: Gaidi aliyevaa begi lenye mabomu ya kujitoa muhanga alipuka kabla halijafikia eneo lililojaa watu

From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana.

Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa.

Kuna possibilities zifuatazo
  • yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu
  • Mossad wana teknolojia ya siri iliyoweza kuingilia mfumo wa bomu na kumlipua sehemu salama
  • Alistuka mwishoni kutambua mafundisho aliyopewa ya kula raha peponi kwa kujitoa muhanga ni uongo.
Video inatisha inaonesha vipande vyake, fungua kwa tahadhri

View attachment 3075246

View attachment 3075250
View attachment 3075251
Amewawahi wale 72 ?
 
Back
Top Bottom