Israel haikushindwa kwenye ujasusi

Ushabarikiwa tayari.
 
Sio kweli! Israel isinge ruhusu vifo vya wananchi wake kiasi kile.
Kiufupi ni kuwa Ujasus ulifeli pakubwa.
 
Huna akili
 
Acha hadithi za bunuwasi wewe amuka
 
Wacha we Yahudi mweusi wa Nzega.
 
Na kwa akili hizi utakuta unategemewa kama baba kichwa cha familia.
 
Certainly true. Sema huja analyze vizuri. Around tareh 5-6 Egypt ali share intelligence na Israeli on possible movements za Hamas mpakani. I think more than once aka ignore na kusema ana rely kwenye intelligence ya US. Sasa haijakulikana kama kweli alikua anamsubiri US au walipanga kitu.

Na alimjibu Egypt kua hizo movements za Hamasi wanazo toka muda nizakawaida. Na perhaps walipanga na US kujustify Gaza annexation, possible walijua kua hamasi ata ambush lakini hawakujua angeambush to what extent? thus why nao wamepanic hivi. And ku connect dot kwamba yaweza kua pre-planned na US masaa machache baada ya Hamasi ku ambush ile festival US aircraft carrier imetua Mediterranean Sea how fast was that? Probably walijua every movement but impact ndo hawakujua.

These things are very complicated ku think kwamba CIA Mossad M16 etc hawakujua even drop? Naah! It’s Crystal clear na hata Hamas wenyewe wamekili kua msaada na plan yote wamepata toka Iran.

Probably area ya kwanza au ya pili dunia hii ambayo US anaimonitor 24/7 ni Iran. Ukiacha Russia na NK.
 
Hamas bado wanashikilia ashkelon,mashambulizi Sasa yanatoka Syria na Lebanon,huwezi imaliza taasisi Kama Hamas
 
Zelensky analia suala la Hamas ni makusudi ili akose msaada wa silaha ili abondwe vizuri,huwezi acha mpango utaoua watu wako zaidi ya 2000 wakiwemo askari, Israel kila siku anatungua maghorofa Gaza na kuua viongozi/wadau wake
 
Tatizo akili ya Mtanzania ni finyu sana, mleta mada anacho kisema yawezakuwa make kwa taarifa cheki aljazeera wanasema Misri iliwataarifu Israel siku tatu kabla ya tukio lenyewe.

Iserael wanataka ardhi yao, sidhani kama kuna mtu atakaye weza kuwatoa Gaza tena, Hamas ndo kwaheri hivyo......!!!
 
Hamas bado wanashikilia ashkelon,mashambulizi Sasa yanatoka Syria na Lebanon,huwezi imaliza taasisi Kama Hamas
Ujinga wa kiwango cha lami source ya habari yako ni hipi? kwakweli ukitaka kujua watanzania ni ovyo njoo jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…