Israel haikushindwa kwenye ujasusi

Yaani makamanda wa Israeli watekwe wengine wauawe, kambi za wanajeshi zivamiwe, HAMAS waingie hadi mitaani kuua raia, missiles zirushwe mpaka Tel Aviv

Halafu isemwe eti Israeli haijashindwa katika ujasusi

Ni mpumbavu tu ndiye atakeyeamini huo upuuzi
 
Vyovyote inawezekana kila mission inahitaji ushawishi thabiti. Kumbuka hata Sept 11, 2001 wanasema ilikua mission yakubadilisha oder ya Dunia, je! Watu hawakufa? Majengo hayakulipuliwa? Hasara haikupatikana? Dunia inashawishiwa kwa ukweli na ukweli wenyewe hutengenezwa so kwenye hii vita lolote linawezekana na huenda kuna kitu kinatafutwa zaidi ya tuonavyo baada ya kuonekana hakiwezi kupatikana kwenye operesheni ya Russia huko Ukraine.
 
Hamasi walisema walijiandaa kwa mapigano ya muda mrefu, hawakujua Israel ni mdebwedo kiasi hiki, hivyo wameahidi kuendelea kuwachapa mpaka kieleweke.
Nami naunga mkono wachapane mpaka kizazi kimoja kipotee duniani, piga ua hadi viroboto.
 
Ndio watoe kafara raia wake 1000 huku wengine 150+ wakiwa mateka ?..... anyway huenda upo sahihi.
Watu wanajaribu kubadili zama, hizo habari za idadi ya watu jufa huwa su kutu, what matters ni kuzivuka zama.
Bunaadam wameshauawa kwa vitu vingi vinavyotokana na sababu nyingi za kubumba.
Mamilioni ya Binaadam wmeshakufa kwa magonjwa ya kutengenezewa tu. Binaadam wameshajufa kwa dawa walizitaraji ziwatibu.
Binaadamu wanauawa kwa vita, binaadamu wanauawa kwa ajali.
Dunia ikiamua kuingia zama mpya, watu hugeuka makatili binaadam hupoteza thamani.
 
Hamas walilijuwa hilo mapema sana, wakasema tuitumie fursa hii vilivyo, kwani kama hatukuitumia wanatuuwa kila siku na tukiitumia watatuuwa vilevile. Wakaamuwa waitumie "to the maximum". Ndicho walichokifanya.


Hapo walioingia chaka Wayahudi, walifikiri hamas watapeleka mtu mmoja au wawili wakajitowe mhanga. Kinyume na mpango wao wayahudi wakashushiwa moto walioshushiwa moto wa vimondo vya tabata wasioutegemea.

Wapalestiina wameshasema sasa hawaachiihili mpaka waishe wote au myahudi arudishe arshi yao.


Hapa sasa ni nani tu atayekuwa na uvumilivu wa machungu zaidi? Yule aliyezowea starehe na ushoga au yule aliyezowea kuteseka toka anazaliwa?
 
Wakati inasambaratishwa USA itakuwa usingizini
 
Ajuza Hamas haitakuwepo tena mwaka huu ndio mwisho wa kusikia hilo jina
 
Umbeya mtupu wamezidiwa si mkubali tu au kwa vile mnaabudia kiinchi hiki cha kikaburu?
 
inawezekana kila mission inahitaji ushawishi thabiti. Kumbuka hata Sept 11, 2001 wanasema ilikua mission yakubadilisha oder ya Dunia
Ndivyo mnavyodanganyana vijiweni


Unajua mpaka leo Israel inashambuliwa upande wa Kaskazini kutokea Jordan?

Kwa hiyo bado mission ya Israel kuidanganya dunia inaendelea si ndio?

Hebu ficheni ujinga wenu. Habari zingine zikikuzidi uwezo ni kuachana nazo kuliko kuleta stori za vijiweni
 
Kwahiyo unashindwa kujua kuwa US ana military base Dunia nzima. Hata ukitaka F-16 inatokea kwenye base Yao hapo Kenya masaa kadhaa inakuwa kigamboni hapo
 
Kama ni hivyo huenda hata 9/11 lilikuwa tukio la kutengeneza makusudi na Corona pia ilitengenezwa pia.
 
Una elimu Gani mkuu

Una justify ujinga ulionao ...... Israel haiwezi sacrifice raia wake 700 Kwa ujinga
Kwenye mijadala siioni sababu ya matusi.
Nami jana nimeona hii taarifa aljazira . Habari hiyo inasema walipewa onyo na Misri. Kama ndivyo Hamas walifanyiwa mtego tu ili hao wayahudi wapete uhalali wa kimataifa kuiangamiza Gaza. Tuwe wapole kwenye hili swala.
 
Una elimu Gani mkuu

Una justify ujinga ulionao ...... Israel haiwezi sacrifice raia wake 700 Kwa ujinga
Kwenye mijadala siioni sababu ya matusi.
Nami jana nimeona hii taarifa aljazira . Habari hiyo inasema walipewa onyo na Misri. Kama ndivyo Hamas walifanyiwa mtego tu ili hao wayahudi wapete uhalali wa kimataifa kuiangamiza Gaza. Tuwe wapole kwenye hili swala.
 
Kama ni hivyo huenda hata 9/11 lilikuwa tukio la kutengeneza makusudi na Corona pia ilitengenezwa pia.
That's the world we live in.
Zama huvukwa kwa gharama zozote zile, malengo huwekwa kivyovyote.

Jasusi wa Marekani akiwa mdadisi sana, kuna hili swali, "Who killed Kennedy?". Jasusi wa Marekani akitumwa mission, halafu akawa mdadisi sana kwa wanaomtuma, huwa akiulizwa hilo swali, kupitia swali hilo huwa anakua amepata jibu kwamba anatakiwa afanye anachotumwa kwani mosi, hatakiwi kujua kwanini, pili hata yeye anayeagiza pia hana jibu na hajui kitu na hata boss wa huyo mpeleka ujumbe naye hajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…