Israel haikushindwa kwenye ujasusi

Ajuza Hamas haitakuwepo tena mwaka huu ndio mwisho wa kusikia hilo jina
Toka uandike hayo ilikuwa mwaka jana. Sasa utaamini nnachokiandika huwa sikisii.

Naendeleza chini baada ya kupata habari mpya za kijasusi kutoka kwa majasusi wabobevu huko Mashariki ya kati.
 
Nilipoyaandika hayo hapo juu mwaka jana na majibu yaliyokuwa yanaletwa kwenye huu uzi nikafahamu kuwa wengi hawaelewi dunia inakwenda vipi.

Leo naendeleza:

Kanali wa jeshi la Marekani, Jasusi Mbobevu na mkaguzi wa silaha za maangamizi huko mashariki ya kati, ukimfatilia cha nnel yake (naweka link chini hapa) utakuta kuwa niliyoyaandika ndiyo anayayakinisha sasa hivi na anaongezea kwa kusema, Mossad walidhani wamewaingiza chaka Wakubwa wa Wapalestina kwa kuwatubuni kwa [pesa nyingi na kuwa wapo nao na wakapanga nao pamoja uvamizi, kwa bahati nzuri au mbaya, kumbe siku zote wale wakubwa wa wa Hamas walikuwa wanajuwa wanachokifanya na wakawa wanatumia pesa hizo na wanaitumia Israel (kama wapo nao vile) ili kupitisha pesa nyimgi sana kutoka kwa wahisani kupitia Israel, wahisani ni pamoja na nchi zote za Kiarabu zenye mahusiano na Israel, ikiwemo Saudi Arabia, UAE, Qatar na wengineo.

Hamas wakawa wanazutumia pesa hizo kufanya maandalizi makubwa ya kujenga "under ground metro", Wayahudi walikuwa wanaelewa kuwa yanachimbwa mahandaki ya kawaida kama yaliopo kwao ya kukimbizia raia wakati wa mashambulizi. Kumbe Hamas wanajenga mji kabisa wenye vichochoiro, vyumba, viwanda na kila kitu kinachohitajika kijeshi, chini kwa chini.

Lile shambulio la & Oktoba lilikuwa lifanyike siku nyingi lakaini majasusi wa Hamas ambao ni hao hao wakubwa wa Hamas walikuwa wanawazuia mazayuni kuwa lisifanyike sasa mpaka tutakapowapa go ahead.

Ilikuwa lifamyike shambilizi dogo na Hamas wawe hawajitayarisha ili israel waingie kama wanaenda sokoni vile na kuikalia Ghaza. Kumbe wameingizwa chaka.

Siku ilipofika Israel walikuwa wanajuwa kikundi kidogo cha Hamas wataingia watachukuwa mateka wenye kijiji cha karibu na hicho ndiyo chambo cha mazayuni kuingia na kuikalia Ghaza.

Hamas kumbe wamejitarisha mara elfu ya mazayuni walivyofikiri, kimbembe chake waote tulishuhudia.

Na hapo walipo sasa hivi ni Hams ndivyo walivyotaka, mipango ilisukwa ikasukika, hii siyo bahati mbaya.

Msikilize jasusi mbobevu Scott Ritter anavyochambuwa:


View: https://youtu.be/LJxvLhJqpR0?si=7fRaLa51UC8mmVCh
 
Tofautisha hizo mission za Israel kuua watu wachache na hii genocide. Kwa hili lazima wafikirie repercussions kwenye uhusiano kimataifa.
 
Tofautisha hizo mission za Israel kuua watu wachache na hii genocide. Kwa hili lazima wafikirie repercussions kwenye uhusiano kimataifa.
Israhell hawafikirii hilo hilo unafikiria wewe tuuu
Mashirika yakikataifa wamewaambia waruhusu dawa zipelekwe vipi wamekubali
Mashirika ya kimataifa wamewaambia waruhusu chakula kipelekwe vipi wameruhusu
Au unataka mpaka hapa usikie ama uone nini ujue kama jamaa hawajali lolote kuhusiana na hayo unayosema wanajali
 
Ni kweli kabisaa taarifa kwamba kulikuwa na uwezekano wa hamas kufanya shambulizi Israel ilikuwa nazo.
 
Ni kweli kabisaa taarifa kwamba kulikuwa na uwezekano wa hamas kufanya shambulizi Israel ilikuwa nazo.
Watu walishupaza mafuvu wakati naeleza hilo siku za mwanzo kabisa. Nadhani wameanza kuona mwanga
 
Wameruhusu eti. Au una Israel ya kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…