Hamas wanawathamini watuj weusi sana kwani katika safu zao wapo pia.Muangalie huyo Osama Hamdan ambaye ndiye msemaji mkuu wa Hamas sasa utadhani kazaliwa ikwiririWewe utakuwa ni jini siyo binadamu, Kwa sababu tunaambiwa majini yapo, mnatetea magaidi, Hamas ilitakiwa baada ya kuwateka Tena wafrica weusi iwaachie tu, kwanini waliendelea kuwashikilia watu weusi ambao sio wazungu?
Kinachotokea sasa ndio kinachowaliza walimwengu wote wenye ubinadamu.Sio sisi unaotusema peke yetu.Nakumbuka wakati mnashangilia tuliwaonya humu humu msije mkaanza kulia,kiko wapi😀
Nasema hivi mpelekewe moto mpaka akili ziwakae sawa na msirudie tena kuwachokoza waisraeli maana ni hatari kwa vizazi vyenuHiyo dini yenu ina hatari sana.Na wala siamini kuwa wewe ni mkristo.unaweza ukawa myahudi au mfuasi wa shetani.
Watoto kwa dini yetu ni watu salama sana na wote ni waislamu mpaka watakapoanza kubaleghe.Hata wakifanya dhambi wakiwa wachanga hawaandikiwi kwenye madaftari yao.
Mmoja aliyewahi kutoa hukumu hiyo ni Firauni ambaye hatimae Allah mwenyewe alimshughulikia na kukoma
😁😁🤣🤣Kwa haya mauaji yaliyofanyika Leo kwenye hii shule nimejikuta machozi yananitoka aisee hii ni zaidi ya mauaji ya kimbari... Israel wapunguze haya mauaji sasa maana sioni faida yeyote anapata hata hao mateka kama wamekufa bado haitasaidia kuuwa watoto
Hamas ni kina nani shekhe wanguKatika idadi za vifo Israel vilipaishwa ili kutoa sababu ya vita,hakuna maelfu.Zaidi ya hapo hata watu wengine walijuwa kujwa Hamas hawakufanya hivyo bila sababu.
sssa kama ni Hamas waliofanya hivyo umeshaambiwa hawapo tena.hawawezi kuwaona.Si watulie sasa na waache kuuwa watu ovyo huku wakilenga zaidi watoto.
Kinachotokea sasa ndio kinachowaliza walimwengu wote wenye ubinadamu.Sio sisi unaotusema peke yetu.
Katibu mkuu wa UN ameamua kuachana na wapuuzi kama nyinyi kutokana na ukweli aliouona.
Wakristo wajinga ndio mnawashabikia hao wauaji Israel.Nasema hivi mpelekewe moto mpaka akili ziwakae sawa na msirudie tena kuwachokoza waisraeli maana ni hatari kwa vizazi vyenu
hamtaki vilio vya wapelestina mnataka vilio vya waisrael. Netanyau sijui kwanini anawapiga kwa huruma atembeze kichapo mpaka kwa mbwa paka ng'ombe kwa mbuzi iwe historia.Acha maneno ya kimbea hayo.Umeambiwa Hamas wameyeyuka na hawajapatikana.Kama ni furaha wameshaondoka nayo.Sasa hatutaki vilio vya watoto.
HAMAS are to blame for all theseTuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.
Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha Hamas wameyeyuka kabisa na kilichobakia ni mahandaki na alama zao nyengine kuwa walikuwepo
Uchunguzi unaonesha kuwa Hamas wataibuka mbeleni na kuendeleza vita ambavyo kamwe Israel hatoviweza kuvimaliza.Hilo limeshajulikana na Israel na sasa inapiga kwa malengo hayo ya kuzuia vita vya mbeleni jukumu ambalo ni gumu sana.
Sasa kwanini Israel inaachwa ifanye vitendo vya kifirauni mbele za walimwengu,ambavyo ni kuuwa watoto inaodhani wanaoweza kuchukua majukumu ya Hamas miaka ijayo..Lakini hizo zitabaki ni dhana na haiwezi kuhalalisha unyama inaofanya sasa.
Shule moja baada ya nyengine zinapigwa kwa mabomu mazito na kuua watoto.Vitoto vinakujfa mbele ya wenzao na watu dunia nzima wanaona.
Nimeangalia matukio ya kutisha sana ya wazee wakiokota vipande vya watoto wao waliokuwa wakisafiri nao kuelekea kusini.Vijana wenye njaa wanachimba vifusi kwa mikono yao kutafuta waliofukiwa.Huko ni kuchanganyikiwa kwani mikono haiwezi kuinua mazege na kubinua nondo zilizojengewa majengo hayo.Ndio maana kuna idadi kubwa mpaka sasa wamebaki chini ya vifusi.
Wanawake wanalia mpaka machozi yanakauka kuomba msaada kwa wanaume wa dunia nzima. Sauti zao ni ushahidi wa kuIshiwa na nguvu kwa majonzi
Wenye uwezo wa kuzuia hayo,huu ni wakati wao na sio matamko ya kisiasa kwa jambazi ambaye hasikilizi maneno hayo.Kuacha kufanya hivyo kwa hakika ni kukaribisha majanga kwa dunia nzima katika mfumo wa mabalaa yanayofanana na corona ambapo kila mmoja wetu hatoishi kwa raha tena bila kujjali dini zetu.
Wapo wengi katika nchi za mbali na eneo la tukio wameacha kuzungumzia vita vya Israel na Hamas na wanazaungumzia maangamizi (genocide) basi.
Nanyi waislamu wajinga mnawashabikia magaidi ya kiislamuWakristo wajinga ndio mnawashabikia hao wauaji Israel.
Wewe umejua mapema.HongeraMimi tangu nakuwa na akili ikitokea mtu mwenye roho mbaya au mtu akifanya kitendo cha kikatili tulimwita huyu jamaa Ni Myahudi kabisa. Sasa nyie mlijua wayahudi ni kama sisi Wakristo kutupelekesha? Tulieni hivyo hivyo
Hakuna dunia kusimama miguu imechokaTuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka.