Israel haiwezi kaa wiki mbili bila kufanya tukio Iran

Israel haiwezi kaa wiki mbili bila kufanya tukio Iran

Ila israel kuanzia raia wao hadi viongozi wao muda wote wanatamani kuendelea kuchapana tu na maadui wao...nimeona kuna kiongozi wao mmoja wa upinzani anammaindi hatari Netanyau kwanini amekubari kusitisha vita kupisha maridhiano.
Analaumu huku akiwa kajificha chini ya banker na familia yake 🤣🤣🤣

Shujaa na mpenda pambano huwa hajifichi hata siku moja kumhofia mpinzani wake.
 
Back
Top Bottom