6 Pack JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 3,952 Reaction score 8,807 Apr 11, 2026 #21 msomi uchwara said: Ila israel kuanzia raia wao hadi viongozi wao muda wote wanatamani kuendelea kuchapana tu na maadui wao...nimeona kuna kiongozi wao mmoja wa upinzani anammaindi hatari Netanyau kwanini amekubari kusitisha vita kupisha maridhiano. Click to expand... Analaumu huku akiwa kajificha chini ya banker na familia yake 🤣🤣🤣 Shujaa na mpenda pambano huwa hajifichi hata siku moja kumhofia mpinzani wake.
msomi uchwara said: Ila israel kuanzia raia wao hadi viongozi wao muda wote wanatamani kuendelea kuchapana tu na maadui wao...nimeona kuna kiongozi wao mmoja wa upinzani anammaindi hatari Netanyau kwanini amekubari kusitisha vita kupisha maridhiano. Click to expand... Analaumu huku akiwa kajificha chini ya banker na familia yake 🤣🤣🤣 Shujaa na mpenda pambano huwa hajifichi hata siku moja kumhofia mpinzani wake.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 11, 2026 #22 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw