Israel hostages looks happy and healthy

Kiukweli hilo jambo limenishangaza, mabinti wamenawiri sana tofauti na mateka wallioachiwa kutoka Israel wamekonda na wanaonekana kuwa na matatizo ya akili!
Udini umejaa hadi akili zenu zimefubaa na mnashindwa kutofautisha kati ya mfungwa na mtu aliyetekwa.
Hamas ilikamata watu wasiyo na hatia na ilikuwa ni jukumublao kuhakikisha wanakuwa salama.

Israel inaachia wafungwa ambao wengi walikuwa na makosa ya mauaji na ndo maana wengine wanahamishiwa Egypt hawarudi Gaza wala West Bank.
 
HAPA.MAYAHUDI WAMEAIBIKA SANA .PROPAGANDA ZAO ZOTE KWAMBA HAMAS NI MAKATILI ZIMEFELI, KINYUME CHAKE WAFUNGWA WA KIPALESTINA WANARUDISHWA WAKIWA WAGONJWA, WALEMAVU AU WAKIWA HAWANA MARINDA , HALAFU ANATOKEA MGALATIA KUTOKA MAKAMBAKO ANAKUAMBIA ISRAEL NI TAIFA TEULE
 
Kiukweli hilo jambo limenishangaza, mabinti wamenawiri sana tofauti na mateka wallioachiwa kutoka Israel wamekonda na wanaonekana kuwa na matatizo ya akili!
🤣🤣🤣🤣🙌
 
Wangekua wema wasingeanza ugaidi wa Oct 7. Ugaidi ambao umesababisha vifo vya zaidi ya watu 50 wengi wao hawana hatia ikiwemo Watanzania wenzetu
 
sera ya hamas huwa hawatesi mateka kwani imani yao ni kwamba njia moja ya kumshinda adui ni kutomtesa na kumpa huduma nzuri ili kumbadili fikra,na pia huwapavmateka zawadi wakati wanapowaachia
 
Tuonyeshe na wafungwa wa kipalestina waliyokuwa Israel
 
Ndio kanuni ya uislamu.Mateka wanatakiwa kutunzwa vyema bila ya kuwadhulumu haki zao.
Vp kuhusu ugaidi wa Hamas, Hezbollah, alkaeda, Houth, alshabaab, bokoharam, Islamic jihad nk.
Ni kanuni ya uislam?
 
Muhammad alibaka kabint ka miaka 9 usisahau
Bahati nzuri hakumbaka baba yako, huyo ni kingozi wa dini Kama wewe unayemuani haiwezekani kila uzi unapotoka lazima atokee.mpuuzi kama wewe kutukana kiongozi wa dini asiliyekuhusu ukiona ni sifa sana, halafu watatokea wapuuzi wenzio waliokosa adabu Kama wewe waanze kuuharibu huu uzi, fungua wako kama kawaida yenu muendelee na kuukashifu uislam na.viongozi wake, maana hata mkianzisha uzi wa kashfa uongozi unafurahia tu hawazifungii nyuzi zenu za kashfa ila zingine zisizo na kashfa ya uislam zinafungiwa kila siku, ni Kama mnatumwa vile.

Halafu JF Sasa hivi utoto mwingi sana, adabu hakuna wenye hadhi zao wamekaa pembeni inasikitisha sana maana kila siku waki comment kitu wanatukanwa, tulikuwa tunajifunza mengi humu tunapewa historia za maana Sasa hivi hakuna hilo, binafsi JF imenitumbukia nyongo naweza kaa hata miezi miwili mitatu siingii nikifungua tu lazima nitakuta uzi wa kuukashfu uislam au mtu kajibuwa hovyo tena kwa kumtagi kabisa hovyo kabisa
 
Sawa Umeelezea Vizur tena kwa Utulivu bila Mihemko vizur Sanaa OK Sasa Wewe Kwa Akili za Kawaida Faida yake Ni Nini kwa Hasara Ya Watu Zaidi ya Elfu 47 kufa na Majengo Kuharibiwa na Maisha ya Watu Wa Kawaida biashara ,shule ,mahospitali na Kila kitu kuharibika Wewe Unahisi Hamasi Kapata Faida Yani Ashumu wewe ndio Uwe pale Gaza na Familia yako Una maisha yako na kila ki2 chako Alafu litokee kama lile upoteze kila 2 wewe unahisi ni Faida Au hasara na hao Viongozi waliosababisha hayo Wengi Wapo Dubai na Sehem nyingine zenye Utulivu wakifanya Maisha yao Wewe unawazaje hapo
 
Wangekua wema wasingeanza ugaidi wa Oct 7. Ugaidi ambao umesababisha vifo vya zaidi ya watu 50 wengi wao hawana hatia ikiwemo Watanzania wenzetu
Ugaidi walianza waisrael kila mwaka walikua wakiua average ya wapalestina 387, hatujazungumzia mateka hapo

Pre-October 7, 2023 1. Between 2008 and 2022| According to the United Nations Office for the Coordination of Humanitarian Affairs (OCHA): Approximately 5,418 Palestinians were killed by Israeli forces during this period. This average to about 387 Palestinians killed per year.
 
Mbona Jamii Kubwa ya watu wanaenda kutafuta Maisha Bora huko kwa watu wenye Roho mbaya Unayosema Mbona hawaendi kwa hao Unaowaita wana Roho Nzuri Oman,Iran,Iraq,Egypt kila Siku Tunasikia Watu Wana lia Kwa Kunyanyaswa na hao Waarabu Unaowapenda kwa mihemko Yako
 
Vita hivi vimajaa propaganda,Imani za hovyo za watu kulishwa matango pori,wakati huo imani hizo ni tofauti na imani za watengeneza propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…