Israel hostages looks happy and healthy

Sasa faida Gani wamepata wapalestina wangapi wamekufa hapo
"It is better to die on your feet than live on your knees"

Waisrael wamejua pale kuna strong resistance hawawezi pachukua kirahisi kama wanavyotaka
 
Bro usisahau alienda kutoa posa akiwa na miaka 6 mzee. Usitetee uzinz kaka. Kwamba Iraq ndipo watoto wanavunja ungo mapaema dunian sio? Usisahau pia mtume alilelewa na lishangazi kaka.
 
Tulia dawa ikuingie mkuu. Ndio ukweli wenyewe utafanyaje sasa
 
Bro usisahau alienda kutoa posa akiwa na miaka 6 mzee. Usitetee uzinz kaka. Kwamba Iraq ndipo watoto wanavunja ungo mapaema dunian sio? Usisahau pia mtume alilelewa na lishangazi kaka.
Kaka ongea kistaarabu basi mbona kama unataka kumvunjia heshima mtume (s. A. W), mbona mpaka sasa inaruhusiwa kutoa posa kwa mtoto wa kike mapema au we hujawahi kusikia na endapo atakua tayari kuolewa ndo unmuoa, halafu hiyo miaka 9, ni exceptional si kwamba msichana yoyote anaweza kuolewa na miaka 9, kama mtoto wa kike anaweza kuanza kufanya mapenzi akiwa shule ya msingi darasa la 4 au la tano anashindwa nini kuolewa
 
Bro usisahau alienda kutoa posa akiwa na miaka 6 mzee. Usitetee uzinz kaka. Kwamba Iraq ndipo watoto wanavunja ungo mapaema dunian sio? Usisahau pia mtume alilelewa na lishangazi kaka.
Kumvunjia heshima kiongozi wa kidini yoyote si sawa mimi ni muislamu ila siwezi kumvunjia heshima yesu, au kiongozi mwengine yeyote dini yoyote hairuhusu kufanya hivo
 
Kumvunjia heshima kiongozi wa kidini yoyote si sawa mimi ni muislamu ila siwezi kumvunjia heshima yesu, au kiongozi mwengine yeyote dini yoyote hairuhusu kufanya hivo
Unamvunjiaje heshima. Hicho nilichosema kipo kwenye kitabu chenu au hakipo
 
Umesahau aliua familia ya kiyahud kisa walikataa asioe binti yao sio.
 
Waislam tena!!
 
Nenda kasome maandiko yenu
Aisha alikuwa anacheza na watoto wenzake na midoli watoto wakimuona pedophile Muhammad amekuja wanakimbia wanamuacha katoyo Aisha kanabakwa vibaya sana

Mama yake Aisha alikuwa alikuwa anakalisha ka Aisha Ili kanenepe maana kalikuwa kadogo hakana mwili

Maandiko yenu na yamethibitishwa na nyie wenyewe waislamu kasome au muulize kiongozi wako wa dini
 
Yani kama unakiri mwenyewe kuwa Muhammad kutembea na katoto ka 9yrs ni uchafu basi umeanza kufunguka akili soon lazima umkane mtume mbakaji wa watoto
 
Kumvunjia heshima kiongozi wa kidini yoyote si sawa mimi ni muislamu ila siwezi kumvunjia heshima yesu, au kiongozi mwengine yeyote dini yoyote hairuhusu kufanya hivo
Anamvunjia heshima au Muhammad kajivunjia heshima

Muhammad ni kweli alioa mtoto wa miaka 6 akampiga paipu akiwa na miaka 9

Na maandiko ya waislamu yanasema Aisha wakati anaolewa alikuwa mdogo sana mpaka mama yake akambadilishia chakula Ili apate mwili mnene apelekwe kwa mbakaji
 
Hata iwe miaka 100 la muhimu ni two state solution, pale vita havitaisha na israel hakuna siku atakuja kuishi kwa amani kila siku yeye anapigana vita tu hana raha nchini mwake
Forget two state kwa sababu hata huku Tanzania akili za baadhi ya waislamu ni kutaka kuua wasio waislamu wote ili wabaki wao tu. Ila cha ajabu mwenye asili ya afrika akienda uarabuni ni kafiri hata kama ana singa usoni. In short hii ni dini very divisive kama ilivyo kwa dini ya kiyahudi
 
Na wapalestina zaidi ya 47000 wameuawa ndani ya mwaka na mji wa Gaza umegeuzwa vifusi.
Na vipi kuhusu wapalestina waliouwa Waisraeli?!
Mbona hiyo report imebase upande mmoja.
 
Utasikia Dini ya haki ni moja tu halafu ndio inayoombea laana waja wengine walioumbwa na Mnyaazi Mungu. Halafu tofautisha kati ya mateka (hostages)na wafungwa wa kivita.
 
Kiukweli hilo jambo limenishangaza, mabinti wamenawiri sana tofauti na mateka wallioachiwa kutoka Israel wamekonda na wanaonekana kuwa na matatizo ya akili!
Je, Hapakuwepo na mateka Me wa kupigiwa mfano au zamu yao bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…