Israel iko hoi kiuchumi baada ya kujiingiza Gaza. Ikiwa ni mwezi wa pili tu. Hamas wamelipandisha deni lake mpaka 8 bn Dollar

watu hamuelewi kwanini ISRAEL kaamua iwe vita jumla wala hataki kusikia ushauri wa mtu wala maandamano ya ceasefire, HAMAS wameapa kuendelea kuishambulia ISRAEL mpaka iwamalize ile wachukue hyo ardhi wanayoamini ni yao, sasa leo israel ikiogopa hasara ikatafuta amani ya mezani, iwe na uhakika itatandikwa na hakutakuwa na uchumi, wananchi wala ardhi... kwahyo hawana uchaguzi mwingine, ni kumkabili aliyewatangazia kifo mpaka wammaalize ili wabaki salama, wakishaipata amani kwa kumtoa HAMAS na kusimamia usalama wa GAZA kama kule WEST BANK basi watajenga uchumi, kitu kizuri WEST WORLD wana mpunga mrefu watamsaidia jamaa yao.

cha ziada tu ni kwamba ISRAEL wana uchumi mzuri sana, kufilisika sio rahisi kwa hawa HAMAS, wala HEZBOLLAH, labda kama ingekuwa inapigana na TAIFA kama Iran hapo ndo wangepata serious loss.
kwahyo tusubiri angalau miezi 6 ndo tuanze kufanya tathmini.
 
Kumbuka kwamba Pato la taifa la Israel kwa huu mwaka pekee ni dola milioni 564 (shilingi za kitanzania trilioni 1,400+) hata nchi zote za Afrika Mashariki ziungane hazifikii.
Wewe mjinga unajua jinsi mifumo ya fedha na uchumi wa nchi unavyofanya kazi ?
Wewe ukiambiwa gdp ya nchi ni bilioni 500 USD unadhani hizo ndio cash au tangible money serikali au nchi inazo ?
Unajua hata maana ya GDP ?
 
Kumbuka kwamba Pato la taifa la Israel kwa huu mwaka pekee ni dola milioni 564 (shilingi za kitanzania trilioni 1,400+) hata nchi zote za Afrika Mashariki ziungane hazifikii.
Wewe mwezi wa saba ulivyosikia benki kuu ya United States Government na treasury (hazina ) ikisema serikali ya Marekani itashindwa kulipa madeni yake na kufirisika iwapo hawata pata idhini toka bunge la congress ya kuongeza deni la nchi kwa kutoa treasury bonds kama njia ya kukopa ili kupata cash kwa ajili ya kuendesha shughuli za kiserikali ulikuwa unaelewa nini ?
Usifikiri vita ni mchezo ,vita si sherehe ya kipaimara
 
Wengi wa watu humu wanaendeshwa na ushabiki tu na wala hawajui kitu
 
V
Magaidi na wananchi waa wanaendelea kuuawa kila,siku na Gaza inageuzwa magofu. Israel haitasimamisha vita hadi malengo yake yatimie.
 
Hezbollah ni kikundi cha wanamgambo wa Lebanon na kinatambulika rasmi kinapokea misaada ya kijeshi kutoka Iran.

Iran anawapatia Hezbollah silaha nzito hadharani na kila nchi inafahamu hilo sasa wewe unazungumza habari usizozijua.
 
Mimi nazungumzia Hamas hakuna nchi inaweza kuwapa hata risasi Moja hadharani. Labda kama hiyo nchi inataka kuwasaidia Hamas indirect wanaweza kupeleka silaha huko kwa kina Hezbollah.
 
Wewe mjinga unajua jinsi mifumo ya fedha na uchumi wa nchi unavyofanya kazi ?
Wewe ukiambiwa gdp ya nchi ni bilioni 500 USD unadhani hizo ndio cash au tangible money serikali au nchi inazo ?
Unajua hata maana ya GDP ?
Mbona unatukana ?
Acha jazba kwani jazba ni 'nyumba ya wapumbavu'
 
Unafikiri Israel ni Tz? Wenzako wana budget yakupigana na Dunia nzima kulinda uwepo wao... Sio Hamas just to inform you
 
Unafikiri Israel ni Tz? Wenzako wana budget yakupigana na Dunia nzima kulinda uwepo wao... Sio Hamas just to inform you
Israel na tz hawana tofauti kwa sababu wote wanaishi kwa kutegemea misaada.
 
USA ipo ita recover uchumi wake, hakuna shida hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…