Israel imeachiwa ishinde vita na haijashinda. Inasikitisha sana na kuna ujumbe mkubwa

Ni myth ilhali miaka yote hii waarabu miungu wenu wote wameshindwa, kila wakijaribu hupoteza kipande cha ardhi, Mungu wa Wayahudi ni mkuu kuliko wenu.
Hamas ni kundi teule
 
Haa hivi huna taarifa ya askari wenu juzi kuvalia mabaibui kwenda kuua wagonjwa kule Jenin

Aha hiyo mbona freshi, wagonjwa magaidi ilipaswa wauawe, na tena makomando wa IDF wameanza kucheza michezo yenu ya kuvaa buibui, maana ndio kitu magaidi wa dini yenu walikua wanafanya na kuvizia IDF, sasa hivi mnafuatwa mpaka kunako, mnaona watu wenye hamjui kama ni IDF au aikna mama.
Safi sana, niliwaambia alla akbar wenu kawakimbia, hana uwezo kumzidi Mungu wa Wayahudi.
 
Akili yako haiko sawa kabisa.Una mihemko ya kiyahudi.
Yaani wapalestina wakichanganyika na akinamama ni ujinga lakini IDF wakivaa mababibui na kuelegeza sauti ni sawa.
 
Akili yako haiko sawa kabisa.Una mihemko ya kiyahudi.
Yaani wapalestina wakichanganyika na akinamama ni ujinga lakini IDF wakivaa mababibui na kuelegeza sauti ni sawa.

Mazombi ya dini yenu yanajichanganya na wamama eti ndio yasishambuliwe, sasa hivi IDF nao wanavaa hayo mabuibui na kuyafuata huko huko....yaani mumebanwa kote..hehehehe
 
Mnajifariji
 
Usichokijua, Israel ingetaka kupiga hapo na kupasambaratisha isingechukua zaidi ya siku moja, wanapiga kitu kinaitwa carpet bombing.
Kwa sasa wanalazimika kuvizia vizia magaidi yaliyojificha nyuma ya watoto ili kupunguza makelele ya dunia.
Wewe ni lipumbafu!
 
Haa hivi huna taarifa ya askari wenu juzi kuvalia mabaibui kwenda kuua wagonjwa kule Jenin
Sasa kama magaidi yanajificha hospitalini na kujifanya wagonjwa dawa ni jeshi la Israel kuingia hospital kama madokta na kuwafuta
 
Cha kushangaza ni kwanini Israel haishindi pamoja na kupewa nafasi yote hiyo ya kushinda ikiwemo kupewa nguvu ya kuua kwa njaa.
Huwezi kuishinda 'ideologia' kwa bunduki.

Israel utafanikiwa kuiharibu zaidi Gaza ila kuwafuata Hamas sio rahisi na hata wakiwafuta kundi jipya litaibuka kuziba Ombwe.
 
Hamas wamesalitiwa ila wanapambana kivyao na wasiache waendelee kupambana mpaka mwisho
muislam mweusi ni nusu shetan , unaeza shabikia mtu alieua mtz mwenzio , hao hamas hawakuon ww kama muislam bali kama mtz
 
muislam mweusi ni nusu shetan , unaeza shabikia mtu alieua mtz mwenzio , hao hamas hawakuon ww kama muislam bali kama mtz
Hata wewe Ukishirikiana na magaidi ya kizayuni kuua wa ghaza utakua halali kabisa kufyekwa kama wenzako
 
muislam mweusi ni nusu shetan , unaeza shabikia mtu alieua mtz mwenzio , hao hamas hawakuon ww kama muislam bali kama mtz
Huna maana kabisa.
Mamilioni ya watu duniani wanalilia maelfu ya watu waliouliwa Gaza na wengi kujeruhiwa na majengo zaidi ya nusu kubomolewa.Wewe kila siku unataka tumlilie mtanzania mwenzetu ambaye alikutwa kwenye kambi ya jeshi.
Tumeshalia tumenyamaza.Sasa tunataka wasiuliwe wengine kwa sababu zile zile zilizopelekea mtanzania mwenzetu kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…