Israel imeahidi kitita cha Tsh Bilioni 13.2 ($5M) kwa yeyote atakayesaidia kurudisha mateka kutoka Gaza

Mayahudi ni bure kabisa! Baada ya kufanya uharibifu mkubwa wa kubomoa majengo na kuua watu hovyo, bado mpaka leo eti wameshindwa kutambua walipo ndugu zao!!

Hopeless kabisa! Hilo dau la hela sasa si wangelitangaza tangu mwanzo! Badala ya kutumia nguvu nyingi, kuliko akili!
Waislam ni utapeli mkuu kuwahi kutokea katika dunia hii mduara yenye maji mengi kuliko ardhi
 
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.

===

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.

Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.

Amechelewa sana. Wasingeingia hasara yote hiyo kama wangetoa ahadi mapema. Sasa mtu hana pa kuishi nyumba imekula chuma atatoanushirikiano gani hapo.
 
Walitaka wawape kichapo hawa matapeli kwanza

Wangezoea vibaya mno
Na kwa akili yako unaona kabisa kunam Palestina ata snich kuweza kupata hzo hela....karibu Kila raia hapo ameshazika ndugu zake kwa madhila ya hao malofa....Netapaka apambane na Hali yake....aendelee kula mbinyo kutoka kwa raia zake mpk atanyoosha mikono juu....plus kile kibabu alichokitengua kilichokuwa waziri wake wa ulinzi nacho kinamuundia zengwe....
 
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.

===

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.

Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.

KICHEKESHO HIKI SASA HAO MOSSAD WANAOSIFIWA HUMU KILA SIKU HILO JUKUMU WAMELISHINDWA WAMEWAACHIA WIZARA YA FEDHA🤣🤣🤣🤣
 
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.

===

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.

Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.

Watu sio wajinga hivyo isreli hajawahi kusema ukweli wowote
 
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.

===

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.

Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.

Shekel au USD?

Halafu kilichoandikwa ni 5m per hostage siyo 5m for hostages kama ulivyoandika wewe mkuu.
 
Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.

===

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.

Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.

Yahudi katema bungo
 
Attachments

  • IMG_20241118_120137.jpg
    IMG_20241118_120137.jpg
    75.1 KB · Views: 1
Sikuelewa vizuri tafsiri ya hiyo picha uloweka ila nadhani ulitaka kusema Israel imechakazwa au
Sana afu haijafanikiwa kudhibiti makundi ya wapigania uhuru, kingine Israel imeonyesha udhaifu kwenye engo nyingi ambazo hazikujulikana awali
 
Ujue sio kazi rahisi kudhibiti makundi unayoyaita ya wapigania Uhuru ambayo yapo ndani ya nchi iliyo huru i.e. ni Ironical kusema kwamba unapigania Uhuru ilhali upo ndani ya nchi Huru. Makundi hayo huko kwingine ndo wanayaita makundi ya kigaidi. Mtindo wao wa mapambano ni ule wa chini ya magugu "Guerrilla warfare." kama ilivyo kwa HAMAS ni tofauti na kupigana na jeshi linaloeleweka/rasmi kama ilivyo kwa Hezbollah. Hilo lipo karibu dunia nzima e.g. huko Mexico, Serikali toka muda mrefu inapambana na magenge ya wauza madawa ya kulevya lakini bado haijafanikiwa. Kwa mantiki hiyo hatushangai kwa Israel.
 
Kiufupi no mateka or matekalization wote wameshagakufa kitambo na wakazikwa kaburi moja.chezeya kobazi wewe utalala chooni
 
Back
Top Bottom