Wakati ambao Israel wako tayari kugharimika ili kupata watu wake kwa hali na mali kuna jamaa fulani wa itikadi ya kitapeli wanaruhusu watu kuoa watoto hadi wa miaka 9.
===
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema malipo ya dola milioni 5 (TSh. 13,232,176,000) yatatolewa kwa mtu yeyote atakayesaidia kurudisha mateka. Akizungumza na Kamati ya Mambo ya Nje na Ulinzi, alisisitiza kuwa mfumo wa zawadi uwekwe ili kupata taarifa muhimu.
Netanyahu ametoa wito kwa taarifa hizo kusambazwa kwa wakazi wa Gaza ili kufanikisha juhudi za kuwatafuta mateka.