Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

Ukisikia mtu anatiahiwa kujamba ndio uku Houth wamezoea iyo mikiki miaka kwa miaka mfulululizo sidhan km watafanikiwa zaid wao ndio watachapwa waombe poo kupitia UN.
 
Ukisikia mtu anatiahiwa kujamba ndio uku Houth wamezoea iyo mikiki miaka kwa miaka mfulululizo sidhan km watafanikiwa zaid wao ndio watachapwa waombe poo kupitia UN.
UN ya sasa ni vibaraka wa magaidi. Israel akishambuliwa wako kimya ila Israel akishambulia wabaya wake wanaibuka kuikemea Isarel.
 
Ukisikia mtu anatiahiwa kujamba ndio uku Houth wamezoea iyo mikiki miaka kwa miaka mfulululizo sidhan km watafanikiwa zaid wao ndio watachapwa waombe poo kupitia UN.
Watakuelewa basi Hawa. Houthi kawambia wao sio Syria na usiku wa Leo usiku wanashusha maballistic Kama dawa halafu week wao wanapiga usiku tu, Saa 9 watu mmelala mnasikia ving'ola wote nje Kwenye shelter kutoka hapo saa 1 asubuhi hamna kulala ni kazini wiki nzima ndio kamchezo wamechezeshwa ikabidi wapige leo
 
Huwezi kushinda vita dhidi ya watu ambao kwao material things siyo ishu. Israel itablckmail serikali ambazo zina infrastructures zinazoogopa kuzipoteza!. Sasa subiri Houthi waanze kushambulia reserves za mafuta, vituo vya umeme vya israel na maeneo ya viwanda ya israel.
 
UN ya sasa ni vibaraka wa magaidi. Israel akishambuliwa wako kimya ila Israel akishambulia wabaya wake wanaibuka kuikemea Isarel.
Huuu mwaka zayuni ata usaau naona anawapa sababu wa Yemeni kuutwanga mji mkuu Telaviv.mm nimekaaa pale
 
Ila Hezbollah walivyokuwa wa moto leo hata kokoto harushi! Dah kuna wataalamu wakiamua upotee utapotea! Israel ni balaa.
Waislam huheshimu makubaliano/mkataba,kuna cease fire israel/hizbullah,iliyoombwa na USA cum israel
 
Israel kashajua hatari ikiwa atawalenga raia w Yemen kwaiyo IDF itajiekekeza kwenye miundo mbinu tu
 
Israel kashajua hatari ikiwa atawalenga raia w Yemen kwaiyo IDF itajiekekeza kwenye miundo mbinu tu
Muhimu wasijichanganye na raia kama kinga. Hakutakuwa na options.
 
Kashajua awezi kuzuiya technology ya silaha za Yemen Israel kidogo kidogo anapoteza kujiamini kwake!!!
 
Ukisikia mtu anatiahiwa kujamba ndio uku Houth wamezoea iyo mikiki miaka kwa miaka mfulululizo sidhan km watafanikiwa zaid wao ndio watachapwa waombe poo kupitia UN.
Mwenye cha kupoteza ni mwisraeli yeye hudhi Hana cha kupoteza msisahu hilo
 
Israel ni mabwege tu, kipigo gani anapiga control tower hahaha na ndege za abiria pale Airport. Subiria Al Houthi wayavunje skyscraper zao ndio watajua Al Houthi hawana huruma kama vile Hezbullah, wale ni wala mirungi kama Israel anategemea kila mwarabu atakwepa civilian hapo kachezea pabaya sana.
 
Attachments

  • Chawa wa nani hawa.jpg
    Chawa wa nani hawa.jpg
    29.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom