Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

Watakuelewa basi Hawa. Houthi kawambia wao sio Syria na usiku wa Leo usiku wanashusha maballistic Kama dawa halafu week wao wanapiga usiku tu, Saa 9 watu mmelala mnasikia ving'ola wote nje Kwenye shelter kutoka hapo saa 1 asubuhi hamna kulala ni kazini wiki nzima ndio kamchezo wamechezeshwa ikabidi wapige leo
Kazikazi akuna kulala wakitaka kulala waende kwao Ulaya mvamizi sisi tutamlaza na panya buku adi akili imkae sawa. Iran akili kubwa sasa ndio kazi inaanza!!
 
wale walioshangilia upuuzi wa houth Sasa anakula kichapo semeni tena
Upuudhi wawapi kichapo wkt waisrael wapo kwenye mashimo muda huu muwape pole wanapata tabu sana. Yemen Yemen nguvu kubwa. High Technology missile zayuni huu mwaka kayaganyaga. Imesnza piga nikupige ngoja tuone.
 
Upuudhi wawapi kichapo wkt waisrael wapo kwenye mashimo muda huu muwape pole wanapata tabu sana. Yemen Yemen nguvu kubwa. High Technology missile zayuni huu mwaka kayaganyaga. Imesnza piga nikupige ngoja tuone.
Israel wananchi wanalalamika hawalali usiku mpaka Yemen wamalize mambo Yao alafu mbaya zaidi Yemen anawasubirisha anapiga sa 10 alfajir
 
wale walioshangilia upuuzi wa houth Sasa anakula kichapo semeni tena

In comments shortly after the strikes, Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu said it would "continue to cut off the terror arm of the Iranian axis of evil until we complete the job", adding "we are only just starting with [the Houthis]".
Kifupi ndio kwanza kazi imeanza.
 
Hukuona shambulio la israel kabla ya houthi kujibu!?..hapo houthi watajibu tena,sasa airport na matanki ya mafuta wamepiga,sijui watapiga nini tena,tunangoja hypersonic kutua telaviv
Tunangoja.
Huwezi kushinda vita dhidi ya watu ambao kwao material things siyo ishu. Israel itablckmail serikali ambazo zina infrastructures zinazoogopa kuzipoteza!. Sasa subiri Houthi waanze kushambulia reserves za mafuta, vituo vya umeme vya israel na maeneo ya viwanda ya israel.
Tunasubiri.
 
Us, UK na Israel wameaomba France iwasaidie kupigana na Yemen hahahahaha, mpa France kesho tutasikia Germany.

France atafanya nini sikashambulia Yemen, hayo tuone kama hakukimbia.

Yemen ndio kiboko yao, hakuna atakae mshinda Yemen, time itaongea
 
He
Israel ni mabwege tu, kipigo gani anapiga control tower hahaha na ndege za abiria pale Airport. Subiria Al Houthi wayavunje skyscraper zao ndio watajua Al Houthi hawana huruma kama vile Hezbullah, wale ni wala mirungi kama Israel anategemea kila mwarabu atakwepa civilian hapo kachezea pabaya sana.
Hezbollah wataifuta Israel
 
He

Hezbollah wataifuta Israel
Israel hana lolote kaishia vitisho tu, anaye pigana na Yemen ni Western ambao ni UK, US. France na kuna fununu Australia pamoja na mapuppets wao wa kiarabu. Israel anashambulia Yemen anacho piga yeye na US na hao wenzake ni civilian target tu. Yemen anamtia adabu sa anajidai kuomba UN waingilie hahaha kumpa green light vichekesho kweli. Toka lini Israel alienda kwa njia ya UN kupiga nchi.


View: https://youtu.be/oi5E0i4BOBY?si=9wEudgGFv9-9EIjL
 
Huwezi kushinda vita dhidi ya watu ambao kwao material things siyo ishu. Israel itablckmail serikali ambazo zina infrastructures zinazoogopa kuzipoteza!. Sasa subiri Houthi waanze kushambulia reserves za mafuta, vituo vya umeme vya israel na maeneo ya viwanda ya israel.
Yemen ni nchi, ina miundombinu ya kiuchumi kama viwanda, airport, bandari, vituo vya kuzalisha umeme nk
Na watapigwa na wengi kwa sababu uwepo wao unaathiri biashara za nchi zingine huko Asia.
 
Yemen nchi ya kiarabu maskini kuliko zote ndio watetezi wa Palestina waliobaki. Wananchi wake wanashida ya maji na chakula wanaongezewa mzigo wa vita.
 
Tunangoja.

Tunasubiri.
Kabla ya masaa 24

🔴 Yemeni Armed Forces Launch Major Operations Targeting Israeli and Maritime Assets

The Yemeni Armed Forces announced a series of military operations on December 27, 2024:

1. Ben Gurion Airport: A hypersonic "Palestine 2" missile targeted the airport in the occupied Jaffa area, causing casualties and suspending air traffic.

2. Drone Attack in Jaffa: A drone targeted a vital facility in Jaffa, successfully hitting its mark.

3. Ship Targeting: The ship "Santa Ursula," owned by a company violating the blockade of occupied Palestine, was struck by drones in the Arabian Sea near Socotra Island.

These operations come in response to Israeli airstrikes on civilian areas in Sana’a and Hodeidah, which caused casualties and damage. Yemeni forces vowed to escalate operations against Israeli facilities until the siege on Gaza is lifted.

🚩 @ResistanceTrench
 
Back
Top Bottom