Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

Israel wananchi wanalalamika hawalali usiku mpaka Yemen wamalize mambo Yao alafu mbaya zaidi Yemen anawasubirisha anapiga sa 10 alfajir
Hizi akili za matako kabisa, watu wasilale Israel kwa ajili ya hao wavaa kobazi takataka kabisa wa Yemen?💩💩💩💩
 
View attachment 3185728
Kufuatia kuidhinishwa kwa mipango ya utendaji kazi na Mkuu wa Majeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi na Waziri Mkuu, ndege za kivita za IAF zilifanya mashambulizi ya kiintelejensia dhidi ya malengo ya kijeshi ya utawala wa kigaidi wa Houthi kwenye pwani ya magharibi na ndani ya Yemen kwa muda mfupi. iliyopita. Utawala wa kigaidi wa Houthi umekuwa ukishambulia mara kwa mara Taifa la Israel na raia wake, ikiwa ni pamoja na katika UAV na mashambulizi ya makombora ya uso kwa uso katika ardhi ya Israel.

Malengo ambayo yaliafikiwa na IDF ni pamoja na miundombinu ya kijeshi inayotumiwa na utawala wa kigaidi wa Houthi kwa shughuli zake za kijeshi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a na vituo vya nguvu vya Hezyaz na Ras Kanatib. Kwa kuongezea, IDF iligonga miundombinu ya kijeshi katika bandari za Al-Hudaydah, Salif na Ras Kanatib kwenye pwani ya magharibi.

Malengo haya ya kijeshi yalitumiwa na utawala wa kigaidi wa Houthi kuingiza silaha za Iran katika eneo hilo na kuingia kwa maafisa wakuu wa Iran. Huu ni mfano mwingine wa unyonyaji wa Wahouthi wa miundombinu ya kiraia kwa madhumuni ya kijeshi.

Utawala wa kigaidi wa Houthi ni sehemu kuu ya mhimili wa ugaidi wa Irani, na mashambulio yao dhidi ya meli za kimataifa na njia zinaendelea kuyumbisha eneo na ulimwengu mzima. Utawala wa kigaidi wa Houthi unafanya kazi kama kundi la kigaidi linalojitawala huku likitegemea ushirikiano wa Iran na ufadhili wa kutekeleza mashambulizi yake.

IDF haitasita kufanya kazi kwa umbali wowote dhidi ya tishio lolote kwa Taifa la Israeli na raia wake.

View attachment 3185731

View: https://x.com/IDF/status/1872301407052718151?t=lgqE4EOfu9-hl_fymZTJmw&s=19

Cc. Ritz
Cc. FaizaFoxy

Houthi AirportView attachment 3185763

Yemen Airport
View attachment 3185766

View: https://x.com/Osint613/status/1872282279994593724?t=dfbycScCaowCMKDN2DCdkg&s=19

View attachment 3185785

View: https://x.com/Ahmed_hassan_za/status/1872311479300685910?t=kOAYtmtV81lwHchJx6qioA&s=19

View attachment 3185817

View: https://x.com/Osint613/status/1872340090644775355?t=PDUP-ZZLXCNSowvH1Ple8A&s=19

View: https://x.com/syed_1109084/status/1872457833884905751?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hizi akili za matako kabisa, watu wasilale Israel kwa ajili ya hao wavaa kobazi takataka kabisa wa Yemen?💩💩💩💩
Vip mzee umechefukwa habari unafatilia lkn au unaleta unyumbu kwenye ukweli airport ya Telaviv imefugwa ww unawaza vita vyazama za mawe!!! Nenda naww ndio utajua kama kunalala au lah.
 
Alli tete kwasasa ndani ya Israel watu wanapanda mabot kuelekea visiwa vya CYPRUS moto unawaka UN wkt wowote inaenda zuiya vita.
 
Yemen anatakiwa atoe kichapo full dozi hata kea siku tatu mfululizo ,waanza kukaa kwenye mashimo tena
 
Huu uzi ungebadilishwa kichwa kisomeke Yemen yaanza kutoa kichapo!!
 
Screenshot_20241227_152345_X.jpg
 
Hizi akili za matako kabisa, watu wasilale Israel kwa ajili ya hao wavaa kobazi takataka kabisa wa Yemen?💩💩💩💩
Alafu wew unanitukana Mimi au mazayuni sikuelewi ujue, pia fuatilia news mbali mbali upate kujua mathalani katika mji wenu kuwe na uvamizi wa tembo kila usiku saa 10. Watu wa mji huo watakua Wanalala au wanategesha alam ikifiaka saa tisa waende Kwenye mashimo kupisha uvamizi wa tembo? Sasa ikitokea tembo kapagawa kuanzia saa 4 TU usiku Hana muda maalum wa kuingia kijijini hio jamii italala usiku saa ngapi? Ndio wanacho kifanya mjahidin al houth Kwa bwanyenye zayuni
 
Kaka upo saaaiiii uyu jamaaa atakuwa mchungaji ndio mana katoa povu apigwe zayuni kuumia aumie yeye akili zengine izi ni Hatari. Kipondo kwasasa ni kila siku kama chai tu mpela mpela adi wakimbie ardhi yawatu. MIGAIDI MIKUBWA YENYE DAMU ZA WATOTO
 
Alafu wew unanitukana Mimi au mazayuni sikuelewi ujue, pia fuatilia news mbali mbali upate kujua mathalani katika mji wenu kuwe na uvamizi wa tembo kila usiku saa 10. Watu wa mji huo watakua Wanalala au wanategesha alam ikifiaka saa tisa waende Kwenye mashimo kupisha uvamizi wa tembo? Sasa ikitokea tembo kapagawa kuanzia saa 4 TU usiku Hana muda maalum wa kuingia kijijini hio jamii italala usiku saa ngapi? Ndio wanacho kifanya mjahidin al houth Kwa bwanyenye zayuni
Nenda katawaze upunguze kinyesi kwenye kicwha chako.
Watu wanabondwa huko we umeshiba maharage unashangilia.
Hao wapo hapo hawajaondoka.
We bado unashabikia ujinga huku watu wanapasha moto..
Niliweka bandiko hapa tar 8 baada ya shambulizi kokote.
Niliandika kwamba sasa mtaenda kujuta maisha yote kwamba kwanini mlifanya
 
Iran kakaliwa,
Lebanon yuko kwa mpenzi wake
Pakistan kaolewa.
Houthi j3 watalia kilio cha mbwa mwitu.
 
Nenda katawaze upunguze kinyesi kwenye kicwha chako.
Watu wanabondwa huko we umeshiba maharage unashangilia.
Hao wapo hapo hawajaondoka.
We bado unashabikia ujinga huku watu wanapasha moto..
Niliweka bandiko hapa tar 8 baada ya shambulizi kokote.
Niliandika kwamba sasa mtaenda kujuta maisha yote kwamba kwanini mlifanya
Sawa ndugu lakini hujawajua Yemen, mi ngoja nikatawze
 
Israel ni mabwege tu, kipigo gani anapiga control tower hahaha na ndege za abiria pale Airport. Subiria Al Houthi wayavunje skyscraper zao ndio watajua Al Houthi hawana huruma kama vile Hezbullah, wale ni wala mirungi kama Israel anategemea kila mwarabu atakwepa civilian hapo kachezea pabaya sana.
Washarusha ballistic missiles karibu 200 zimeleta kuharibu Gani?

Ila UN wanafiki sana leo wanajidai kulaani mashambulizi ya Israel Yemen ila wakati Houth wanarusha makombora sikuwahi kumskia SG wa UN akilaani.
 
Israel atakuambia wamedhuru wapi hahaha.

Chuma kinashuka afu anakuambia kakiangusha 😆 😂 😆

Hizi ni leo

View: https://youtube.com/shorts/jerIWvuQGk0?si=16fFLuQBbmkanY5J

View: https://youtube.com/shorts/ECNyf2luue4?si=qIEfKvh7FPWpLwsN

Hi ya siku tatu za nyuma

View: https://youtube.com/shorts/QKnYTna_ZW8?si=tAGSDDxz9gsagm9f
 
Alafu wew unanitukana Mimi au mazayuni sikuelewi ujue, pia fuatilia news mbali mbali upate kujua mathalani katika mji wenu kuwe na uvamizi wa tembo kila usiku saa 10. Watu wa mji huo watakua Wanalala au wanategesha alam ikifiaka saa tisa waende Kwenye mashimo kupisha uvamizi wa tembo? Sasa ikitokea tembo kapagawa kuanzia saa 4 TU usiku Hana muda maalum wa kuingia kijijini hio jamii italala usiku saa ngapi? Ndio wanacho kifanya mjahidin al houth Kwa bwanyenye zayuni
Hamna hiyo kitu, na leo ijumaa mkitoka msikitini zayuni anawangoja pale matokeo j3.
Msiseme tu anaua watoto na wamama.
 
Back
Top Bottom