Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

Israel wananchi wanalalamika hawalali usiku mpaka Yemen wamalize mambo Yao alafu mbaya zaidi Yemen anawasubirisha anapiga sa 10 alfajir
Hizi akili za matako kabisa, watu wasilale Israel kwa ajili ya hao wavaa kobazi takataka kabisa wa Yemen?πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 

View: https://x.com/syed_1109084/status/1872457833884905751?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hizi akili za matako kabisa, watu wasilale Israel kwa ajili ya hao wavaa kobazi takataka kabisa wa Yemen?πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©
Vip mzee umechefukwa habari unafatilia lkn au unaleta unyumbu kwenye ukweli airport ya Telaviv imefugwa ww unawaza vita vyazama za mawe!!! Nenda naww ndio utajua kama kunalala au lah.
 
Alli tete kwasasa ndani ya Israel watu wanapanda mabot kuelekea visiwa vya CYPRUS moto unawaka UN wkt wowote inaenda zuiya vita.
 
Yemen anatakiwa atoe kichapo full dozi hata kea siku tatu mfululizo ,waanza kukaa kwenye mashimo tena
 
Huu uzi ungebadilishwa kichwa kisomeke Yemen yaanza kutoa kichapo!!
 
Hizi akili za matako kabisa, watu wasilale Israel kwa ajili ya hao wavaa kobazi takataka kabisa wa Yemen?πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©
Alafu wew unanitukana Mimi au mazayuni sikuelewi ujue, pia fuatilia news mbali mbali upate kujua mathalani katika mji wenu kuwe na uvamizi wa tembo kila usiku saa 10. Watu wa mji huo watakua Wanalala au wanategesha alam ikifiaka saa tisa waende Kwenye mashimo kupisha uvamizi wa tembo? Sasa ikitokea tembo kapagawa kuanzia saa 4 TU usiku Hana muda maalum wa kuingia kijijini hio jamii italala usiku saa ngapi? Ndio wanacho kifanya mjahidin al houth Kwa bwanyenye zayuni
 
Kaka upo saaaiiii uyu jamaaa atakuwa mchungaji ndio mana katoa povu apigwe zayuni kuumia aumie yeye akili zengine izi ni Hatari. Kipondo kwasasa ni kila siku kama chai tu mpela mpela adi wakimbie ardhi yawatu. MIGAIDI MIKUBWA YENYE DAMU ZA WATOTO
 
Nenda katawaze upunguze kinyesi kwenye kicwha chako.
Watu wanabondwa huko we umeshiba maharage unashangilia.
Hao wapo hapo hawajaondoka.
We bado unashabikia ujinga huku watu wanapasha moto..
Niliweka bandiko hapa tar 8 baada ya shambulizi kokote.
Niliandika kwamba sasa mtaenda kujuta maisha yote kwamba kwanini mlifanya
 
Iran kakaliwa,
Lebanon yuko kwa mpenzi wake
Pakistan kaolewa.
Houthi j3 watalia kilio cha mbwa mwitu.
 
Sawa ndugu lakini hujawajua Yemen, mi ngoja nikatawze
 
Washarusha ballistic missiles karibu 200 zimeleta kuharibu Gani?

Ila UN wanafiki sana leo wanajidai kulaani mashambulizi ya Israel Yemen ila wakati Houth wanarusha makombora sikuwahi kumskia SG wa UN akilaani.
 
Washarusha ballistic missiles karibu 200 zimeleta kuharibu Gani?

Ila UN wanafiki sana leo wanajidai kulaani mashambulizi ya Israel Yemen ila wakati Houth wanarusha makombora sikuwahi kumskia SG wa UN akilaani.
Israel atakuambia wamedhuru wapi hahaha.

Chuma kinashuka afu anakuambia kakiangusha πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜†

Hizi ni leo


View: https://youtube.com/shorts/jerIWvuQGk0?si=16fFLuQBbmkanY5J

View: https://youtube.com/shorts/ECNyf2luue4?si=qIEfKvh7FPWpLwsN
Hi ya siku tatu za nyuma


View: https://youtube.com/shorts/QKnYTna_ZW8?si=tAGSDDxz9gsagm9f
 
Hamna hiyo kitu, na leo ijumaa mkitoka msikitini zayuni anawangoja pale matokeo j3.
Msiseme tu anaua watoto na wamama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…