BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
Dogo kwani hujaona hapo juu Israel ilivyo walinda watu wake? Iran ina uwezo wa kuwalinda raia wake kama ilivyofanya Israel?Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
NajiulizaRais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel.
Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu
View attachment 2953338
Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya mashambulio ya makombora ya Iran, lakini Iran inafahamu matumizi ya GLONASS ya Urusi.
Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran.
View attachment 2953349
....
View attachment 2953337
...
View attachment 2953348
Wewe mlokole Israeli angekua anajua kulinda raia wake Hamas asingewanyonya kamasi wale 1400Dogo kwani hujaona hapo juu Israel ilivyo walinda watu wake? Iran ina uwezo wa kuwalinda raia wake kama ilivyofanya Israel?
That means no production..na uchumi utaendelea kudorora na Netanyahu lazima ata step down tuIran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Hiyo ndio implications yake ila wavaa rozari wenzangu hapa wabishi sana hawataki kujua hilo.That means no production..na uchumi utaendelea kudorora na Netanyahu lazima ata step down tu
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wameanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kwanza ila waarabu wanavituko baraaSo far at least 3 Iranian Security Forces Personnel have been Killed and several Injured as a result of an Attack launched tonight by Members of the Sunni Militia Group, Jaysh al-Adl against Police Stations and IRGC Bases in the Sistan and Baluchestan Province of Southeastern Iran.
Nchi kubwa zote hua na underground bunker Kwa ajili ya kuhifadhi Raia Wake wakati wa tishio la Vita kitu tuna subili ni Iran ashambulie ardhi ya Israel direct bila kutumia proxies (chawa) wake ili tujue Kama Iran nae atawaweka kwenye izo bunker Raia Wake au tuanze kuhesabu maiti za watoto na kina Mama apo Tehran Kama inavyo tokea GazaIran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Wako ktk hofu, I can feel it piaIran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Wanapanga kuondoka hawajui ni saa ngapi muajemi anakuja.full kujificha kwenye mahandaki.Wako ktk hofu, I can feel it pia
Hii hofu kuishi nayo si njema hasa kwa raia wa Israel
Unalisifia jitu jinga limekalisha matako Iran baada ya kushawishi Hamas tarehe 7 saa hizi linaangalia gaza wakifa kila siku. Si anajeshi apeleke kuzuia maafa gaza na kumtoa Israel. Na Israel kashachukua zaidi ya ekari 900 za ardhi na kashaidhinisha kujengwa makazi ya walowezi.ardhi inaondoka kila siku yeye kakaa Iran anajamba tu mishuzi kunuka.Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
WAnasiasa wameachiwa hatma ya dunia mikononi mwao.Wanapanga kuondoka hawajui ni saa ngapi muajemi anakuja.full kujificha kwenye mahandaki.
Jamani haijulikani wakati walisema ndani ya masaa 48 na leo asubuhi ndiyo yalikuwa yakikamilika? Jana usiku kukawa na tension kubwa ya mashambulizi na hayajafanyika? Sasa inakuwaje hapa mkuu?🤣🤣Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Jamaa makunguru hatari😂😂
Iran kapiga mkwara kidogo wanaharisha wote.
Iran kaza hapo hapo.
Mtauwana kwa silaha duni kama mikuki na visu pamoja na kutana hofu za kiimani.Duniani inabidi tubaji sisi watu weusi tusio na maujanja ya technologia ili vita vikome