Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
600
Reaction score
1,843
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel.

Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu

Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya mashambulio ya makombora ya Iran, lakini Iran inafahamu matumizi ya GLONASS ya Urusi.

Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran.

1712183618181.png

1712182566149.png
1712183545707.png
 
So far at least 3 Iranian Security Forces Personnel have been Killed and several Injured as a result of an Attack launched tonight by Members of the Sunni Militia Group, Jaysh al-Adl against Police Stations and IRGC Bases in the Sistan and Baluchestan Province of Southeastern Iran.
 
The Sunni Militant Group, Jaysh al-Adl is claiming to have now Stormed and Captured an Arms Depot of the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) within the Town of Rask in Southeastern Iran, less than 30 Miles from the Border with Pakistan.
 
Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Dogo kwani hujaona hapo juu Israel ilivyo walinda watu wake? Iran ina uwezo wa kuwalinda raia wake kama ilivyofanya Israel?
 
Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel.

Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu

View attachment 2953338

Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya mashambulio ya makombora ya Iran, lakini Iran inafahamu matumizi ya GLONASS ya Urusi.

Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran.

View attachment 2953349
....
View attachment 2953337

...
View attachment 2953348
Najiuliza
Hizi akili za kipekee tulizopewa na Mungu ndo hizi zinazotumika kuangamizana wenyewe?

Tunajiwekea mipaka na mashaka kila kona.
Tunatengeneza silaha za kuua watu, tena silaha za kisasa mno
Mataifa yanapitisha maazimio ya kuua watu ndani ya nchi zao.
Tunaishi kwa kuchunguzana ili kuangamizana.

Dunia itakuwa salama sana wanadamu wakifutika juu ya uso wa nchi
 
Duniani inabidi tubaji sisi watu weusi tusio na maujanja ya technologia ili vita vikome
 
Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
That means no production..na uchumi utaendelea kudorora na Netanyahu lazima ata step down tu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
So far at least 3 Iranian Security Forces Personnel have been Killed and several Injured as a result of an Attack launched tonight by Members of the Sunni Militia Group, Jaysh al-Adl against Police Stations and IRGC Bases in the Sistan and Baluchestan Province of Southeastern Iran.
Wameanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kwanza ila waarabu wanavituko baraa
 
Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Nchi kubwa zote hua na underground bunker Kwa ajili ya kuhifadhi Raia Wake wakati wa tishio la Vita kitu tuna subili ni Iran ashambulie ardhi ya Israel direct bila kutumia proxies (chawa) wake ili tujue Kama Iran nae atawaweka kwenye izo bunker Raia Wake au tuanze kuhesabu maiti za watoto na kina Mama apo Tehran Kama inavyo tokea Gaza
 
Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Wako ktk hofu, I can feel it pia

Hii hofu kuishi nayo si njema hasa kwa raia wa Israel
 
Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Unalisifia jitu jinga limekalisha matako Iran baada ya kushawishi Hamas tarehe 7 saa hizi linaangalia gaza wakifa kila siku. Si anajeshi apeleke kuzuia maafa gaza na kumtoa Israel. Na Israel kashachukua zaidi ya ekari 900 za ardhi na kashaidhinisha kujengwa makazi ya walowezi.ardhi inaondoka kila siku yeye kakaa Iran anajamba tu mishuzi kunuka.
 
Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
Jamani haijulikani wakati walisema ndani ya masaa 48 na leo asubuhi ndiyo yalikuwa yakikamilika? Jana usiku kukawa na tension kubwa ya mashambulizi na hayajafanyika? Sasa inakuwaje hapa mkuu?🤣🤣
 
Jamaa makunguru hatari😂😂

Iran kapiga mkwara kidogo wanaharisha wote.

Iran kaza hapo hapo.
 
Makunguru kivipi kwa kuchukua tahadhali? Najua extremists mnatamani Israel ifutike lakini deep down ur heart unaamini Iran anaweza kumpiga Israel?

Back
Top Bottom