Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

[emoji1787] Hezbollah anamwaga moto sana huko North Israel wayahudi wamekimbia wameacha kila kitu .kila siku Yule waziri kidingi cha kiyahudi kinapiga mkwara lakini hawatii mguu. Unawajua Hezbollah ni nani? Ni vijana wa Ayatollah
 
Jamaa makunguru hatari[emoji23][emoji23]

Iran kapiga mkwara kidogo wanaharisha wote.

Iran kaza hapo hapo.
Hivi sasa nchi nzima wapo kwenye kimuhe muhe hawajui mwanaume saangapi anaingia
Chupi mkononi dadaadeki.
 
Waislamu hawatakaa waungane against Israel maana kila mmoja ana maslahi yake na wanabaguana wao kwa wao kimatabaka.
 
Makunguru kivipi kwa kuchukua tahadhali? Najua extremists mnatamani Israel ifutike lakini deep down ur heart unaamini Iran anaweza kumpiga Israel?
Israeli anapigwa kila siku na Iran mbona au hujui Hezbollah ni vijana wa Ayatollah? Hii hata mabwana zenu wa marekani wanajua nyuma ya Hezbollah , Yemen na Islamic resistance yupo mwanaume Muajemi.
 
Iran inabidi iishambulie tena Pakistan
 
[emoji1787] Hezbollah anamwaga moto sana huko North Israel wayahudi wamekimbia wameacha kila kitu .kila siku Yule waziri kidingi cha kiyahudi kinapiga mkwara lakini hawatii mguu. Unawajua Hezbollah ni nani? Ni vijana wa Ayatollah
Unadanganywa sana
 
Hahah uwe unaingia X mara moja moja siku hizi habari unazipata za moto moto Bwana. Elon Musk ameamua watu wapate habari bila kuchujwa.🤣
Kaweka na habari ya zaidi ya 900 kuchukuliwa na kuidhinishwa makazi ya waloezi?.
 
Hakuna jambo dogo katika usalama mkuu.
 
Hii wanapita kama hawaioni
 
Wanatakiwa wakatiwe umeme humo kwenye mashimo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔨
 
Duniani inabidi tubaji sisi watu weusi tusio na maujanja ya technologia ili vita vikome
Siku duniani tukibakia watu weusi tu, nina uhakika ndani ya mwaka mmoja tu hakuna kiumbe kitabakia hai, kuanzia binadamu, mnyama, ndege, mmea, samaki mpaka wadudu wote watakuwa wameangamizwa na mtu mweusi.

Mtu mweusi ni kiumbe mjinga, katili na mpumbavu kupita maelezo.
 
Israeli anapigwa kila siku na Iran mbona au hujui Hezbollah ni vijana wa Ayatollah? Hii hata mabwana zenu wa marekani wanajua nyuma ya Hezbollah , Yemen na Islamic resistance yupo mwanaume Muajemi.
Hii comment Yako waga inanifanya niamini we bado mchache kwenye hizi vita

One question hivi NATO na AMERICAN hawaiisaidii Ukraine vifaa siraha Intel strategy & tactics na Russia anajua hilo wazi kabisa Lakini umeona Kuna siku Russia kaishamburia German, England, French Us or Poland?

nenda kajifunze proxy war inavyo piganwa kwanza maana soon uwanja wa vita vya Israel na Iran battlefield itakua Syria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…