Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east.

Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser 70 series zinakimbia balaa kwamba zilikatazwa hata kupaki benki🤣😂, sasa kuna watu bado wakiziona 504 au LC mkonge wanajua zinakimbia kuliko gari zote hadi leo, sasa hizi ndizo akili za vijana wengi waliorithi story za six days war na operation entebbe wakisimuliwa na wazee wao pamoja na sunday school au makanisani.

Leo hii hizo Peugeot na LC 70 series huwezi linganisha na gari za kisasa, hivyo mambo yanabadilika.

Story walizohadithiwa vijana wa huku ndizo hizo vijana wa kiyahudi huzisikia na kujikuta ni very special lakini hawajui mambo yamebadilika.

Six days war Israel ilishinda kwanza ilipata intel nzuri kwa kufahamu assets za maadui zake na silaha mahala zilipo, ikarusha fighter jets kupiga silaha, airports vituo vya mawasiliano, running way na sehemu zote za kimkakati hivyo adui wakawa hawana janja tena.
Ndio maana ilichukua siku sita tu, Israel kuwa na air superiority ilikuwa advantage kubwa kwao.

Mtindo huo wa mapigano Israel kautumia tena 2006 dhidi ya Hezbollah na Israel ilikuwa surprised kwao jinsi walifeli vibaya, kwani intel waliyoifanya kwa miaka 6 kuhusu silaha za Hezbollah zilipo hazikuwepo hivyo walishambulia maeneo tupu, walipiga shule, sehemu za mawasiliano n.k pale Lebanon yaani kama kawaida yao , vita ilichukua mwezi mmoja sio siku sita tena alipopambana na Egypt, Syria na Jordan ilikuwa 1967(six days war), Israel ikisaidiwa silaha na France.

2006 Kuna muda Israel ilishambulia kituo cha television Lebanon lakini baada ya muda mfupi tu kituo hiko kilirudi hewani, je tunajifunza nini hapa? Kwamba mbinu za miaka ile ya 60 haina nafasi tena kwa sasa.

Vita ya 2006 ilibidi US iingilie kati kuwakutanisha jamaa wasitishe vita, lakini Hezbollah walikuwa wamejipanga na walijifunza mbinu zote za adui hivyo Israel haikutegemea kakikundi kadogo ka migambo kama wawaitavyo kingemtoa jasho na kukubali kuingia mazungumzoni na kukubali matakwa ya Hezbollah kitu ambacho wachambuzi wanasema Israel ilikuwa defeated.

Juzi hapa Hamas kaanzisha tena pale Gaza, Israel kama kawaida karusha fighters kashambulia tones na tones za makombora kaua raia karibu 33000 wengi watoto na wanawake, lakini Hamas bado imo tu miezi sita sasa, sasa tumetoka kwenye six days sasa tumefikia 6 months war, na si nchi tatu tena kama 1967 kwenye 6 days war bali kikundi kinachokaa kwenye kasehemu kama wilaya kwenye nchi yako mwenyewe kanakushinda hadi raia wanaandamana.

Intel waliyokuwa nayo si sahihi, Hamas nao wamekuwa wajanja wanafahamu uwezo wa Israel na mbinu na wanajua Israel wanataka air superiority hivyo wanachimba mahandaki, Israel imepiga na kupiga toka Israel ianze vita na Palestine haijawahi kutumia nguvu kiasi hiki, pia ikimbukwe kwamba Israel imeteremsha zaidi ya tones 70,000 za bombs hapo Gaza ni mara tatu kwa uzito zaidi ya bomb la nuclear pale Hiroshima kwenye world war 2, nadhani ni kiasi kikubwa zaidi cha makombora kwa eneo dogo kama lile toka ww2.

Mambo yanabadilika sana, mbinu za kivita zinabadilika, mashine za kivita zinabadilika pia.

Hivyo Israel haina uwezo kukabiliana na taifa kama Iran, hio air superiority wanayotegemea haifanyi kazi tena, labda watumie infantry na hapo Israel sio wazuri kwani imeonekana wazi vijana wa Hamas wanavyowasumbua IDF kwenye mitaa ya Gaza. Ipo wazi hivi vikundi wafadhili na wanaowapatia mafunzo ni Iran. Na tusitegemee askari wa Israel watakutana na Iran kupambana mipakani kwani ipo wazi umbali uliopo kati ya Israel na Iran.

Hata Israel ikitumia fighters itawezaje kuzipeleka hadi Iran pasipo ku refuel angani au ardhini ambapo lazima atumie nchi kama Kuwait au Saudia au apite Syria na Iraq hadi Iran akifanya air refuel, hii pia ni hatari kwao kwa nchi yenye advanced tech kama Iran inateremsha stealth aircraft ya US hakika ni ngumu. Pia kutumia nchi yeyote pale middle East kama base hasa Saudia italeta ugomvi wa moja kwa moja na Iran, na hakuna nchi pale ipo tayari kwa hilo.

Option ya kutumia long range missile hapa Israel haitohimili mikito ya Iran ipo wazi.

Israel imekuwa na air superiority Lebanon 2006 na Gaza pia 2023 lakini haizai matunda

Ndugu zangu tuacheni story za 60's na 70's Israel hivi sasa ni nchi yenye uwezo wa kawaida kijeshi tena sana.

Ngoja niishie hapa kwa leo kwa maana nina mengi sana ya kuweka hapa siwezi maliza yote.
 
Iraq ilisaidiwa na United States, the United Kingdom, the Soviet Union, France, Italy, Yugoslavia, na nchi nyingine nyingi za kiarabu.

Hio ni kama kinachoendelea pale Russia, na ikumbukwe kipindi hiko jamaa wapo kwenye vikwazo na ndege zake hazikuwa na service pia kuharibiwa na engineers kitoka West.

Hivyo Iran ilikuwa ni kama inapambana na dunia akwa miaka 8 hadi Sadam akapewa silaha za sumu kuangamiza Iran lakini hakuna hata mita 2 jeshi la Iran kurudishwa nyuma mpakani.

HAlafu kuna myahudi mmoja ameshiba futari ya kualikwa anakuja kubwabwaja uongo aliohadithiwa primary school.
 
Israel ndo nchi pekee duniani ambayo haijawahi kupandisha bendera nyeupe vitani . Wala kuomba mazungumzo ya kusitisha vita.
Israeli wanakupiga jinsi unavyo kuja. Ukija kigaidi unapigwa kigaidi ukija kijeshi unapigwa kijeshi.
Uzur israel ikimalizana na wewe hutakaa maishani mwako mwote urudie kutangaza vita na israel.

Wote walio wahi kupigwa na israel hawajawh rudia.

Kunawatu wanajua kupiga nyie.
 
Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east.

Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser 70 series zinakimbia balaa kwamba zilikatazwa hata kupaki benki[emoji1787][emoji23], sasa kuna watu bado wakiziona 504 au LC mkonge wanajua zinakimbia kuliko gari zote hadi leo, sasa hizi ndizo akili za vijana wengi waliorithi story za six days war na operation entebbe wakisimuliwa na wazee wao pamoja na sunday school au makanisani.

Leo hii hizo Peugeot na LC 70 series huwezi linganisha na gari za kisasa, hivyo mambo yanabadilika.

Story walizohadithiwa vijana wa huku ndizo hizo vijana wa kiyahudi huzisikia na kujikuta ni very special lakini hawajui mambo yamebadilika.

Six days war Israel ilishinda kwanza ilipata intel nzuri kwa kufahamu assets za maadui zake na silaha mahala zilipo, ikarusha fighter jets kupiga silaha, airports vituo vya mawasiliano, running way na sehemu zote za kimkakati hivyo adui wakawa hawana janja tena.
Ndio maana ilichukua siku sita tu, Israel kuwa na air superiority ilikuwa advantage kubwa kwao.

Mtindo huo wa mapigano Israel kautumia tena 2006 dhidi ya Hezbollah na Israel ilikuwa surprised kwao jinsi walifeli vibaya, kwani intel waliyoifanya kwa miaka 6 kuhusu silaha za Hezbollah zilipo hazikuwepo hivyo walishambulia maeneo tupu, walipiga shule, sehemu za mawasiliano n.k pale Lebanon yaani kama kawaida yao , vita ilichukua mwezi mmoja sio siku sita tena alipopambana na Egypt, Syria na Jordan ilikuwa 1967(six days war), Israel ikisaidiwa silaha na France.

2006 Kuna muda Israel ilishambulia kituo cha television Lebanon lakini baada ya muda mfupi tu kituo hiko kilirudi hewani, je tunajifunza nini hapa? Kwamba mbinu za miaka ile ya 60 haina nafasi tena kwa sasa.

Vita ya 2006 ilibidi US iingilie kati kuwakutanisha jamaa wasitishe vita, lakini Hezbollah walikuwa wamejipanga na walijifunza mbinu zote za adui hivyo Israel haikutegemea kakikundi kadogo ka migambo kama wawaitavyo kingemtoa jasho na kukubali kuingia mazungumzoni na kukubali matakwa ya Hezbollah kitu ambacho wachambuzi wanasema Israel ilikuwa defeated.

Juzi hapa Hamas kaanzisha tena pale Gaza, Israel kama kawaida karusha fighters kashambulia tones na tones za makombora kaua raia karibu 33000 wengi watoto na wanawake, lakini Hamas bado imo tu miezi sita sasa, sasa tumetoka kwenye six days sasa tumefikia 6 months war, na si nchi tatu tena kama 1967 kwenye 6 days war bali kikundi kinachokaa kwenye kasehemu kama wilaya kwenye nchi yako mwenyewe kanakushinda hadi raia wanaandamana.

Intel waliyokuwa nayo si sahihi, Hamas nao wamekuwa wajanja wanafahamu uwezo wa Israel na mbinu na wanajua Israel wanataka air superiority hivyo wanachimba mahandaki, Israel imepiga na kupiga toka Israel ianze vita na Palestine haijawahi kutumia nguvu kiasi hiki, pia ikimbukwe kwamba Israel imeteremsha zaidi ya tones 70,000 za bombs hapo Gaza ni mara tatu kwa uzito zaidi ya bomb la nuclear pale Hiroshima kwenye world war 2, nadhani ni kiasi kikubwa zaidi cha makombora kwa eneo dogo kama lile toka ww2.

Mambo yanabadilika sana, mbinu za kivita zinabadilika, mashine za kivita zinabadilika pia.

Hivyo Israel haina uwezo kukabiliana na taifa kama Iran, hio air superiority wanayotegemea haifanyi kazi tena, labda watumie infantry na hapo Israel sio wazuri kwani imeonekana wazi vijana wa Hamas wanavyowasumbua IDF kwenye mitaa ya Gaza. Ipo wazi hivi vikundi wafadhili na wanaowapatia mafunzo ni Iran. Na tusitegemee askari wa Israel watakutana na Iran kupambana mipakani kwani ipo wazi umbali uliopo kati ya Israel na Iran.

Hata Israel ikitumia fighters itawezaje kuzipeleka hadi Iran pasipo ku refuel angani au ardhini ambapo lazima atumie nchi kama Kuwait au Saudia au apite Syria na Iraq hadi Iran akifanya air refuel, hii pia ni hatari kwao kwa nchi yenye advanced tech kama Iran inateremsha stealth aircraft ya US hakika ni ngumu. Pia kutumia nchi yeyote pale middle East kama base hasa Saudia italeta ugomvi wa moja kwa moja na Iran, na hakuna nchi pale ipo tayari kwa hilo.

Option ya kutumia long range missile hapa Israel haitohimili mikito ya Iran ipo wazi.

Israel imekuwa na air superiority Lebanon 2006 na Gaza pia 2023 lakini haizai matunda

Ndugu zangu tuacheni story za 60's na 70's Israel hivi sasa ni nchi yenye uwezo wa kawaida kijeshi tena sana.

Ngoja niishie hapa kwa leo kwa maana nina mengi sana ya kuweka hapa siwezi maliza yote.
Watakuambia Israel ndo taifa hatari na teule wajinga hawa[emoji1787]
 
Uchambuzi wako bado ni biase, huwezi kuunderate Israel kiasi hicho. Hiyo Technology ya Iran kuzidi Israel ni ipi? Israel hafanyi maonyesho ya silaha zake, Iran kila akitengeneza kombora lazima afanye show. Huwezi kudharau nchi yenye nuclear. Na Israel haijashambulia Iran embasy kwa bahati mbaya. Ingekuwa ni kawaida basi nchi za kiarabu wangekuwa weshapeleka jeshi hilo Gaza
 
Ukute hata historia ya Ukoo wenu huijui vizuri; ukijikagua vizuri utagundua ujuaji wako na kukumbatia utumbo ndo kunasababisha maisha yako yasiwe na mvuto kama kabeji za kulishia nguruwe..

Israel na Iran zimewatawala akili kiasi Cha kutia kinyaa, na hakuna lolote zaidi ni kukumbatia chuki za kidini kiasi Cha kumchukia Ndugu yako mtanzania Kwa kuendekeza uisrael na Uiran as if ndo miungu yenu. Brainwashed Mofoz.
 
Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east.

Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser 70 series zinakimbia balaa kwamba zilikatazwa hata kupaki benki🤣😂, sasa kuna watu bado wakiziona 504 au LC mkonge wanajua zinakimbia kuliko gari zote hadi leo, sasa hizi ndizo akili za vijana wengi waliorithi story za six days war na operation entebbe wakisimuliwa na wazee wao pamoja na sunday school au makanisani.

Leo hii hizo Peugeot na LC 70 series huwezi linganisha na gari za kisasa, hivyo mambo yanabadilika.

Story walizohadithiwa vijana wa huku ndizo hizo vijana wa kiyahudi huzisikia na kujikuta ni very special lakini hawajui mambo yamebadilika.

Six days war Israel ilishinda kwanza ilipata intel nzuri kwa kufahamu assets za maadui zake na silaha mahala zilipo, ikarusha fighter jets kupiga silaha, airports vituo vya mawasiliano, running way na sehemu zote za kimkakati hivyo adui wakawa hawana janja tena.
Ndio maana ilichukua siku sita tu, Israel kuwa na air superiority ilikuwa advantage kubwa kwao.

Mtindo huo wa mapigano Israel kautumia tena 2006 dhidi ya Hezbollah na Israel ilikuwa surprised kwao jinsi walifeli vibaya, kwani intel waliyoifanya kwa miaka 6 kuhusu silaha za Hezbollah zilipo hazikuwepo hivyo walishambulia maeneo tupu, walipiga shule, sehemu za mawasiliano n.k pale Lebanon yaani kama kawaida yao , vita ilichukua mwezi mmoja sio siku sita tena alipopambana na Egypt, Syria na Jordan ilikuwa 1967(six days war), Israel ikisaidiwa silaha na France.

2006 Kuna muda Israel ilishambulia kituo cha television Lebanon lakini baada ya muda mfupi tu kituo hiko kilirudi hewani, je tunajifunza nini hapa? Kwamba mbinu za miaka ile ya 60 haina nafasi tena kwa sasa.

Vita ya 2006 ilibidi US iingilie kati kuwakutanisha jamaa wasitishe vita, lakini Hezbollah walikuwa wamejipanga na walijifunza mbinu zote za adui hivyo Israel haikutegemea kakikundi kadogo ka migambo kama wawaitavyo kingemtoa jasho na kukubali kuingia mazungumzoni na kukubali matakwa ya Hezbollah kitu ambacho wachambuzi wanasema Israel ilikuwa defeated.

Juzi hapa Hamas kaanzisha tena pale Gaza, Israel kama kawaida karusha fighters kashambulia tones na tones za makombora kaua raia karibu 33000 wengi watoto na wanawake, lakini Hamas bado imo tu miezi sita sasa, sasa tumetoka kwenye six days sasa tumefikia 6 months war, na si nchi tatu tena kama 1967 kwenye 6 days war bali kikundi kinachokaa kwenye kasehemu kama wilaya kwenye nchi yako mwenyewe kanakushinda hadi raia wanaandamana.

Intel waliyokuwa nayo si sahihi, Hamas nao wamekuwa wajanja wanafahamu uwezo wa Israel na mbinu na wanajua Israel wanataka air superiority hivyo wanachimba mahandaki, Israel imepiga na kupiga toka Israel ianze vita na Palestine haijawahi kutumia nguvu kiasi hiki, pia ikimbukwe kwamba Israel imeteremsha zaidi ya tones 70,000 za bombs hapo Gaza ni mara tatu kwa uzito zaidi ya bomb la nuclear pale Hiroshima kwenye world war 2, nadhani ni kiasi kikubwa zaidi cha makombora kwa eneo dogo kama lile toka ww2.

Mambo yanabadilika sana, mbinu za kivita zinabadilika, mashine za kivita zinabadilika pia.

Hivyo Israel haina uwezo kukabiliana na taifa kama Iran, hio air superiority wanayotegemea haifanyi kazi tena, labda watumie infantry na hapo Israel sio wazuri kwani imeonekana wazi vijana wa Hamas wanavyowasumbua IDF kwenye mitaa ya Gaza. Ipo wazi hivi vikundi wafadhili na wanaowapatia mafunzo ni Iran. Na tusitegemee askari wa Israel watakutana na Iran kupambana mipakani kwani ipo wazi umbali uliopo kati ya Israel na Iran.

Hata Israel ikitumia fighters itawezaje kuzipeleka hadi Iran pasipo ku refuel angani au ardhini ambapo lazima atumie nchi kama Kuwait au Saudia au apite Syria na Iraq hadi Iran akifanya air refuel, hii pia ni hatari kwao kwa nchi yenye advanced tech kama Iran inateremsha stealth aircraft ya US hakika ni ngumu. Pia kutumia nchi yeyote pale middle East kama base hasa Saudia italeta ugomvi wa moja kwa moja na Iran, na hakuna nchi pale ipo tayari kwa hilo.

Option ya kutumia long range missile hapa Israel haitohimili mikito ya Iran ipo wazi.

Israel imekuwa na air superiority Lebanon 2006 na Gaza pia 2023 lakini haizai matunda

Ndugu zangu tuacheni story za 60's na 70's Israel hivi sasa ni nchi yenye uwezo wa kawaida kijeshi tena sana.

Ngoja niishie hapa kwa leo kwa maana nina mengi sana ya kuweka hapa siwezi maliza yote.
Hiki ulicholeta pia si haba!
 
Nawaambia vijana waliohadithiwa hadithi kipindi wanakua ya kwamba hata Roman empire ilitawa dunia leo iko wapi?

Mbinu za kivita anazotumia Israel ni way back, walishamjulia na hana jipya.

Nashangaa wadau kusema kwamba Iran ikimgusa Israel ndio itakuwa mwisho wake.

Israel haina jipya.

Sija under estimate lakini IDF isingekuwa na airforce kama ilivyo Hamas basi IDF ingetandikwa pale Gaza na isingesogea hata mita 100.

Infrantry IDF ni wachovu, sasa kwa nchi yenye missile kama Iran itakuaje?

Halafu nuclear si chochote, South Korea ilishafanya testing za nuclear bombs kwa ajili ya Iran zaidi ya mara moja.

Hata kile kinu cha nuclear kule Syria 2007 ilikuwa ni kwa msaada wa North Korea, Iraq walianza kujenga nuclear reactor 1970's huko itakua Iran ambayo ina kila aina ya wataalamu,wanadayansi wa nuclear na silaha.

Mbona mambo mengine mepesi.

Nuclear si kitu sasa,
 
Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east.

Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser 70 series zinakimbia balaa kwamba zilikatazwa hata kupaki benki🤣😂, sasa kuna watu bado wakiziona 504 au LC mkonge wanajua zinakimbia kuliko gari zote hadi leo, sasa hizi ndizo akili za vijana wengi waliorithi story za six days war na operation entebbe wakisimuliwa na wazee wao pamoja na sunday school au makanisani.

Leo hii hizo Peugeot na LC 70 series huwezi linganisha na gari za kisasa, hivyo mambo yanabadilika.

Story walizohadithiwa vijana wa huku ndizo hizo vijana wa kiyahudi huzisikia na kujikuta ni very special lakini hawajui mambo yamebadilika.

Six days war Israel ilishinda kwanza ilipata intel nzuri kwa kufahamu assets za maadui zake na silaha mahala zilipo, ikarusha fighter jets kupiga silaha, airports vituo vya mawasiliano, running way na sehemu zote za kimkakati hivyo adui wakawa hawana janja tena.
Ndio maana ilichukua siku sita tu, Israel kuwa na air superiority ilikuwa advantage kubwa kwao.

Mtindo huo wa mapigano Israel kautumia tena 2006 dhidi ya Hezbollah na Israel ilikuwa surprised kwao jinsi walifeli vibaya, kwani intel waliyoifanya kwa miaka 6 kuhusu silaha za Hezbollah zilipo hazikuwepo hivyo walishambulia maeneo tupu, walipiga shule, sehemu za mawasiliano n.k pale Lebanon yaani kama kawaida yao , vita ilichukua mwezi mmoja sio siku sita tena alipopambana na Egypt, Syria na Jordan ilikuwa 1967(six days war), Israel ikisaidiwa silaha na France.

2006 Kuna muda Israel ilishambulia kituo cha television Lebanon lakini baada ya muda mfupi tu kituo hiko kilirudi hewani, je tunajifunza nini hapa? Kwamba mbinu za miaka ile ya 60 haina nafasi tena kwa sasa.

Vita ya 2006 ilibidi US iingilie kati kuwakutanisha jamaa wasitishe vita, lakini Hezbollah walikuwa wamejipanga na walijifunza mbinu zote za adui hivyo Israel haikutegemea kakikundi kadogo ka migambo kama wawaitavyo kingemtoa jasho na kukubali kuingia mazungumzoni na kukubali matakwa ya Hezbollah kitu ambacho wachambuzi wanasema Israel ilikuwa defeated.

Juzi hapa Hamas kaanzisha tena pale Gaza, Israel kama kawaida karusha fighters kashambulia tones na tones za makombora kaua raia karibu 33000 wengi watoto na wanawake, lakini Hamas bado imo tu miezi sita sasa, sasa tumetoka kwenye six days sasa tumefikia 6 months war, na si nchi tatu tena kama 1967 kwenye 6 days war bali kikundi kinachokaa kwenye kasehemu kama wilaya kwenye nchi yako mwenyewe kanakushinda hadi raia wanaandamana.

Intel waliyokuwa nayo si sahihi, Hamas nao wamekuwa wajanja wanafahamu uwezo wa Israel na mbinu na wanajua Israel wanataka air superiority hivyo wanachimba mahandaki, Israel imepiga na kupiga toka Israel ianze vita na Palestine haijawahi kutumia nguvu kiasi hiki, pia ikimbukwe kwamba Israel imeteremsha zaidi ya tones 70,000 za bombs hapo Gaza ni mara tatu kwa uzito zaidi ya bomb la nuclear pale Hiroshima kwenye world war 2, nadhani ni kiasi kikubwa zaidi cha makombora kwa eneo dogo kama lile toka ww2.

Mambo yanabadilika sana, mbinu za kivita zinabadilika, mashine za kivita zinabadilika pia.

Hivyo Israel haina uwezo kukabiliana na taifa kama Iran, hio air superiority wanayotegemea haifanyi kazi tena, labda watumie infantry na hapo Israel sio wazuri kwani imeonekana wazi vijana wa Hamas wanavyowasumbua IDF kwenye mitaa ya Gaza. Ipo wazi hivi vikundi wafadhili na wanaowapatia mafunzo ni Iran. Na tusitegemee askari wa Israel watakutana na Iran kupambana mipakani kwani ipo wazi umbali uliopo kati ya Israel na Iran.

Hata Israel ikitumia fighters itawezaje kuzipeleka hadi Iran pasipo ku refuel angani au ardhini ambapo lazima atumie nchi kama Kuwait au Saudia au apite Syria na Iraq hadi Iran akifanya air refuel, hii pia ni hatari kwao kwa nchi yenye advanced tech kama Iran inateremsha stealth aircraft ya US hakika ni ngumu. Pia kutumia nchi yeyote pale middle East kama base hasa Saudia italeta ugomvi wa moja kwa moja na Iran, na hakuna nchi pale ipo tayari kwa hilo.

Option ya kutumia long range missile hapa Israel haitohimili mikito ya Iran ipo wazi.

Israel imekuwa na air superiority Lebanon 2006 na Gaza pia 2023 lakini haizai matunda

Ndugu zangu tuacheni story za 60's na 70's Israel hivi sasa ni nchi yenye uwezo wa kawaida kijeshi tena sana.

Ngoja niishie hapa kwa leo kwa maana nina mengi sana ya kuweka hapa siwezi maliza yote.
Wamepigika kweli,wamenyooka sidhani kama watarudia tena
 
Back
Top Bottom