Haraka ya nini? Vuta subraKumbe mwenye akili atakuwa wewe? Kwani huu mtanange mwanzilishi nani? Kuulitegemea ashangiliwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haraka ya nini? Vuta subraKumbe mwenye akili atakuwa wewe? Kwani huu mtanange mwanzilishi nani? Kuulitegemea ashangiliwe?
Hivi,hilo bunge linazalisha? Pesa ni mapato ya raia. Ukraine imefikia wapi? Hata wao wanaona faida ya vita vinavyopiganwa. Leo hii,mataifa yasiyo jirani yameanza. Yeye amejirindaje? Pamoja na msaada na washilika wengine,vitu vimepenya. Yeye unashani hajajifunza kitu? Kumbuka,zoezi hili si la siku moja. Wao unadhani wamejisahau? Siku zote,hata anaeanzisha vita,haanzi na siraha kali.Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
Haraka ya nini? Vuta subra
Kumbe mnasubiri amwagiwe sawa endeleeni lakini Ayatollah keshatimiza alichokisema Yale masuala ya iron dome na taifa teule la Mungu sasa taifa teule la shetani sijui ni lipi, wale walosema hatothubutu mtajijua wenyeweHuu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
Kumbe mnasubiri amwagiwe sawa endeleeni lakini Ayatollah keshatimiza alichokisema Yale masuala ya iron dome na taifa teule la Mungu sasa taifa teule la shetani sijui ni lipi, wale walosema hatothubutu mtajijua wenyewe
Anakiburi yeye anajua Israeli ndo wenye jeshi bora
Very simply analysis, Israel alijua kuwa Iran itajibu, anajua ABC ya technology IRAN, subiri Israel ajibu ndo utacoment mkuuNetanyahu amekipata alichokuwa anakitafuta, kurudisha imani ya serikali Biden na uungwaji mkono na Wamarekani wanaoonekana kuchoshwa na vita vyake vya Gaza
Ni Israel hawakurupuki, wanafanya mambo wakijua kilichopo mbeleVery simply analysis, Israel alijua kuwa Iran itajibu, anajua ABC ya technology IRAN, subiri Israel ajibu ndo utacoment mkuu
Very simply analysis, Israel alijua kuwa Iran itajibu, anajua ABC ya technology IRAN, subiri Israel ajibu ndo utacoment mkuu
Ni Israel hawakurupuki, wanafanya mambo wakijua kilichopo mbele
Ninachofaham Israel atapiga tukio Ijumaa,Iran atalia kama mdudu
Hapo Israel itapata faida! Hiyo drone itachunguzwa kujua imetengenezwa kwa tecnology gani,then kitaundwa kitu cha kuziharibu kirahisi.
Vita sio nzuri wazee.1. Ni mpuuzi pekee mwenye kutaka vita. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.
2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?
View attachment 2963435
3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi?
4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu kuwa ni siri kali. Atakiri nani kuwa sumbwi lile limempata vilivyo na tena "ku-bu-gosha?"
5. Hapo #4, Saddam alipoisambaratisha pentagon ya Israel tulikuja kuelezwa miaka kadhaa baadaye.
View attachment 2963193
6. Wamesema kajeruhiwa mtoto mdogo tena ka mkwaruzo mdogo tu; twasema la kheri hilo!
View attachment 2962901
7. Kumbe kulikoni kulalama? Kwani alipo beep ubalozini hakuwa akitaka kupigiwa?
Vita sio nzuri wazee.
Netanyahu alikuwa anapambana na makundi yanayohatarisha usalama wa nchi yake. Hakua na lengo la kuanzisha vita na irani wala taifa lolote.Ndiyo jiulize Natenyahu aliitwa na nani Damascus?
Ninachofaham Israel atapiga tukio Ijumaa,Iran atalia kama mdudu
Kwa hiyo kumbe kweli Israel bila Marekani ni Mchumba tu!Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
Hayo mabilioni kama anayo au yanafanya kazi yangeiokoa Ukraine.Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.