Israel imepewa ilicho kitaka kutoka Tehran

Israel imepewa ilicho kitaka kutoka Tehran

Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
Hivi,hilo bunge linazalisha? Pesa ni mapato ya raia. Ukraine imefikia wapi? Hata wao wanaona faida ya vita vinavyopiganwa. Leo hii,mataifa yasiyo jirani yameanza. Yeye amejirindaje? Pamoja na msaada na washilika wengine,vitu vimepenya. Yeye unashani hajajifunza kitu? Kumbuka,zoezi hili si la siku moja. Wao unadhani wamejisahau? Siku zote,hata anaeanzisha vita,haanzi na siraha kali.
Kikubwa tu hapa ni kwa nini,raia wasio na hatia ndo wateketeao kwa ujinga wa viongozi?
Ila safari hii,huenda Netanyahu akayakanyaga. Kaingia madarakani,kila kona anatafutwa tu.
 
Haraka ya nini? Vuta subra

Subira ya nini si Tehran ni Iran? Kulia lia UN tena?

IMG_20240414_080019.jpg

Kwani alipokwenda Damascus ku beep alitegemea hqtapigiwa?

IMG_20240414_122850.jpg

Au yeye hakujua attack hujibiwa kwa counter?
 
Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
Kumbe mnasubiri amwagiwe sawa endeleeni lakini Ayatollah keshatimiza alichokisema Yale masuala ya iron dome na taifa teule la Mungu sasa taifa teule la shetani sijui ni lipi, wale walosema hatothubutu mtajijua wenyewe
 
Eti kajeruhiwa mtoto mdogo. Alikuwa anafanya nini mtoto mdogo kwenye kambi ya jeshi la wanaanga?
 
Netanyahu amekipata alichokuwa anakitafuta, kurudisha imani ya serikali Biden na uungwaji mkono na Wamarekani wanaoonekana kuchoshwa na vita vyake vya Gaza
Very simply analysis, Israel alijua kuwa Iran itajibu, anajua ABC ya technology IRAN, subiri Israel ajibu ndo utacoment mkuu
 
Very simply analysis, Israel alijua kuwa Iran itajibu, anajua ABC ya technology IRAN, subiri Israel ajibu ndo utacoment mkuu
Ni Israel hawakurupuki, wanafanya mambo wakijua kilichopo mbele
 
Very simply analysis, Israel alijua kuwa Iran itajibu, anajua ABC ya technology IRAN, subiri Israel ajibu ndo utacoment mkuu

Kama alivyo subiri majibu Tehran:

IMG_20240414_141603.jpg

Kulia na kucheka ni kwa kupokezana.
 
1. Ni mpuuzi pekee mwenye kutaka vita. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.

2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?

View attachment 2963435

3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi?

4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu kuwa ni siri kali. Atakiri nani kuwa sumbwi lile limempata vilivyo na tena "ku-bu-gosha?"

5. Hapo #4, Saddam alipoisambaratisha pentagon ya Israel tulikuja kuelezwa miaka kadhaa baadaye.

View attachment 2963193

6. Wamesema kajeruhiwa mtoto mdogo tena ka mkwaruzo mdogo tu; twasema la kheri hilo!

View attachment 2962901

7. Kumbe kulikoni kulalama? Kwani alipo beep ubalozini hakuwa akitaka kupigiwa?
Vita sio nzuri wazee.
 
Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
Hayo mabilioni kama anayo au yanafanya kazi yangeiokoa Ukraine.
 
Back
Top Bottom