Israel imepewa ilicho kitaka kutoka Tehran

Huu ulikiwa mtego ambao Iran imeungia vizuri, baada ya wiki moja au mbili utaona Israel anamwagiwa mabilioni ya pesa na bunge la Marekani.
Wewe Mbantu umeweza kung’amua kuwa Iran alikuwa ametegewa mtego, Ila Muajemi haelewi chochote. Hakika Wabantu tunahujumiwa, IQ zetu hazilingani kabisa na hali iliyopo katika mataifa yetu.
 
Kawadanganye wajinga wenzio .hilo bunge la marekani mbona washatoa zaidi ya dola bilioni 100 mpaka sasa tangu oktoba 7 kwani kulikua na mtego gani?
 
Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
 
Kawadanganye wajinga wenzio .hilo bunge la marekani mbona washatoa zaidi ya dola bilioni 100 mpaka sasa tangu oktoba 7 kwani kulikua na mtego gani?

Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.
 
Unakuta mtu kwa akili yake anamini eti ukiibariki Israeli na ww utabarikiwa cha ajabu unakuta amepauka kama muhogo wa kuchoma na Rosali kubwa
 
Back
Top Bottom