Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

Ukiona wale watoto waliokuwa kwenye mashine wanaohamishwa ilikuwa inatia huruma, mimi sina huruma na hamas ila sasa watoto wale wanatia huruma sana. Ikibidi hamas wote wafyekwe lakini siyo watoto na wazee, watoto wana haki ya kuishi .
 
Huo mpaka haujachukuliwa 100% kama unavyodai.
Bali ni usimamizi wa muda mpaka pale Hamas watakapokua wametokomezwa.
USIOKOTEZE TU HABARI PASI NA UHAKIKA.
Hapo kuna temporary buffer zone.
Magaidi hamas kwisha habari yao.
 
Safi sana
Safi sana yesu inyoshee nchi yako mikono
 
Wazee wa alakbaru watapinga,waende rafa wakajiripue mana ala kawaagiza wakiwa na hasira wajiripue.
 
ISRAEL SAFIIII ,

ILA BADO KITU KIMOJA ISRAEL IMENIUZI SANA ,

KUWAACHA HAI HAO VIUNBE WAKATI WALITAKIWA WAWE WAMEDEDI
Walishakufa watu wengi sana...
Hata sisi tutakufa....
Muhimbili Mortuary imejaa marehemu.
 
Kichwa chako kina matatizo... Unaamini stori za Mungu wa wazungu na wakiarabu... Acha kuwa mtumwa wa fikra.... Amka mwafrica mjinga
so nisikilize story za mama yako na baba yako wanavyo do kwa sauti kubwa ndio unanishauri kubwa jinga wewe... be carefuly unapoenda chumba cha wanaume ukaingia kinyume nyume ukiwa bila ya nguo za ndani.. watakuanza kwanza na dole gumba katikati ya masaburi yako
 
Hiyo ya vitu vinavyoibgia Ghaza mbona ni miaka yote, hakuna kinachoingia Ghaza bila idhini ya mazayuni, siyo jipya hilo.

Unafikiri mhanga waliojitoa Wapelestina tarehe 7 oktoba ulikuwa wa bure bure tu?
Kwahiyo Egypt hana maamuzi? akili zake zimeshikwa kwenye mpaka wa Rafah? kwanini huwa huandiki maneno yenye point bila kuwafanya watu wastuke kuwa akili zako haziko sawa au wakuhisi ni mwezi mchanga wewe Mama
 
Huyo bb hajawahi kua na akili kwenye maswala yanayohusu ugaidi wa wapalestina
 
Kwahiyo Egypt hana maamuzi? akili zake zimeshikwa kwenye mpaka wa Rafah? kwanini huwa huandiki maneno yenye point bila kuwafanya watu wastuke kuwa akili zako haziko sawa au wakuhisi ni mwezi mchanga wewe Mama
Huyo bb hajawahi kutumia akili kwenye maswala yanayohusu ugaidi wapalestina.
Udini umempofua macho
 
πŸ˜„ Israel kisha kosea step huoni hata US ananza kujitoa taratibu kumkwepa hio kuivamia Rafah nimtego alitegwa na Hamasi ili aonekane haheshimu mikataba ya amani.

Leo Egypt huko wanajeshi wanamuliza Sisi nini faida ya amani na Israel ikiwa haiheshimu mkataba wa camp david.

Jordan ni hivyo hivyo kuhusu mkataba wa Oslo, yeye na huyo kibaraka wao Rais wa Palestine, Mahmoud Abbas.

Kiujumla Hamasi hapa kamchezea akili Israel na siku zijazo ndio Netanyahu atajua kumbe vita ni akili pia πŸ˜„
 
Kakudanganya nani?

Mwanzoni middle east hasa mataifa ya jirani lebanoni, syria na Iran walionesha kumsaidia ila baada ya kuona muIsrael kakaza, wamepoa hakuna cha drone wala kombola la kumzuia muIsrael.

Tena na hivi sasa wamekata tamaa kuhusu mateka wao πŸ€”πŸ€” yaani hakuna rangi ya Palestine tena, kote ni bendera za Israel kuanzia mpaka wa Misri hadi lebanoni....
 
Hufuatilii habari mkuu.
Wiki tu mbili zilizopita Lebanon Hizbollah wamelipua tena kambi ya jeshi ya Galilee na makazi wa raia kaskazini mwa Israel.
Kaskazini mwa Israel kumefanyika tena escalation.
Houthi wamepanga kuongeza operation ya kuzuia meli ziendazo Israel mpaka bahari ya Mediterranean,hivi sasa Eilat port haifanyi kazi kwasababu mpaka sasa red sea imefungwa na Houthi.
Iran kwa mara ya kwanza toka 1990s imefanya operation ya international waters kuzunguka mediterranena sea na jeshi lake la maji.
Ushajiuliza wamepanga nini!?

Nakusisitiza vita bado mbichi kadri Israel anavyozidisha agression Palestina/Gaza basi ndivyo kadri escalation/tension inavyoongezeka middle east!?
Je una habari kuwa kuna resistance group limeundwa Bahrain na wiki iliyopita walifanya direct rocket strike toka Bahrain kwenda Eilat!?

NAKUSISITIZA MKUU FUATILIA HABARI.
 
Wenzako wamepandisha bendera huko Rafah, unajua maana ya kupandisha bendera?
Na hiyo ni jana na juzi, vp leo?
 

Attachments

  • 5710957-4e1f913b8329963c436a804331a4af15.mp4
    658.7 KB
  • 5710951-e04ba416760cf69247d033af2e7b2475.mp4
    686.3 KB
Wenzako wamepandisha bendera huko Rafah, unajua maana ya kupandisha bendera?
Na hiyo ni jana na juzi, vp leo?
Mkuu kupandishwa bendera hata Lebanon zilipandishwa na kushushwa.
Hiko kitu common sana kutokea.
Hayo mapigano hayajaisha tupo hapa.
Pia ukae uelewe Hamas ni ideology huwezi ukaifuata/kuwafuta Palestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…