Mbaya sanaVita Ni Mbaya Ndugu Zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya sanaVita Ni Mbaya Ndugu Zangu
Magaidi hamas kwisha habari yao.Huo mpaka haujachukuliwa 100% kama unavyodai.
Bali ni usimamizi wa muda mpaka pale Hamas watakapokua wametokomezwa.
USIOKOTEZE TU HABARI PASI NA UHAKIKA.
Hapo kuna temporary buffer zone.
Mkuu huchoki!?Magaidi hamas kwisha habari yao.
Waendelee kujitoa mhanga huku Israeli akizidisha dozi ya kipigo.Hiyo ya vitu vinavyoibgia Ghaza mbona ni miaka yote, hakuna kinachoingia Ghaza bila idhini ya mazayuni, siyo jipya hilo.
Unafikiri mhanga waliojitoa Wapelestina tarehe 7 oktoba ulikuwa wa bure bure tu?
Safi sana yesu inyoshee nchi yako mikonoKwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel.
View attachment 2983888
Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri.
Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko Rafah. Masaa machache baadaye, vikosi vya Israel viliwatimua Hamas na kufanikiwa kupandisha bendera za Israel na kuondoa bendera za Hamas.
Hapo awali, Israel iliwaonya Wapalestina kuondoka eneo hilo kwa sababu ya operesheni ya kijeshi inayokaribia.
Hali ilivyo sasa bendera za hamas zimeshushwa, zinapandishwa za Israel
View attachment 2983891
Hali ilivyo kwenye mitaa
View attachment 2983869
View attachment 2983885
Wazee wa alakbaru watapinga,waende rafa wakajiripue mana ala kawaagiza wakiwa na hasira wajiripue.Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel.
View attachment 2983888
Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri.
Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko Rafah. Masaa machache baadaye, vikosi vya Israel viliwatimua Hamas na kufanikiwa kupandisha bendera za Israel na kuondoa bendera za Hamas.
Hapo awali, Israel iliwaonya Wapalestina kuondoka eneo hilo kwa sababu ya operesheni ya kijeshi inayokaribia.
Hali ilivyo sasa bendera za hamas zimeshushwa, zinapandishwa za Israel
View attachment 2983891
Hali ilivyo kwenye mitaa
View attachment 2983869
View attachment 2983885
Waaakobazi watapingaNiliwaambia hakuna tena taifa la Palestine.
Walishakufa watu wengi sana...ISRAEL SAFIIII ,
ILA BADO KITU KIMOJA ISRAEL IMENIUZI SANA ,
KUWAACHA HAI HAO VIUNBE WAKATI WALITAKIWA WAWE WAMEDEDI
so nisikilize story za mama yako na baba yako wanavyo do kwa sauti kubwa ndio unanishauri kubwa jinga wewe... be carefuly unapoenda chumba cha wanaume ukaingia kinyume nyume ukiwa bila ya nguo za ndani.. watakuanza kwanza na dole gumba katikati ya masaburi yakoKichwa chako kina matatizo... Unaamini stori za Mungu wa wazungu na wakiarabu... Acha kuwa mtumwa wa fikra.... Amka mwafrica mjinga
Kwahiyo Egypt hana maamuzi? akili zake zimeshikwa kwenye mpaka wa Rafah? kwanini huwa huandiki maneno yenye point bila kuwafanya watu wastuke kuwa akili zako haziko sawa au wakuhisi ni mwezi mchanga wewe MamaHiyo ya vitu vinavyoibgia Ghaza mbona ni miaka yote, hakuna kinachoingia Ghaza bila idhini ya mazayuni, siyo jipya hilo.
Unafikiri mhanga waliojitoa Wapelestina tarehe 7 oktoba ulikuwa wa bure bure tu?
Huyo bb hajawahi kutumia akili kwenye maswala yanayohusu ugaidi wapalestina.Kwahiyo Egypt hana maamuzi? akili zake zimeshikwa kwenye mpaka wa Rafah? kwanini huwa huandiki maneno yenye point bila kuwafanya watu wastuke kuwa akili zako haziko sawa au wakuhisi ni mwezi mchanga wewe Mama
Kakudanganya nani?Vita bado ngumu hiyo mkuu.
Kadri Israel anavyozidi kuleta agression Palestina basi tension huongezeka middle east nzima.
Maana huko kaskazini mwa Israel hakukaliki mpaka leo walioondolewa hawajaruhusiwa kurudi kwa mashambulizi ya hizbollah.
Red sea nako meli hazipiti Houthi wameshikilia njia,bandari ya Israel ya Eilat mpaka leo haifanyi kazi.
Hufuatilii habari mkuu.Kakudanganya nani?
Mwanzoni middle east hasa mataifa ya jirani lebanoni, syria na Iran walionesha kumsaidia ila baada ya kuona muIsrael kakaza, wamepoa hakuna cha drone wala kombola la kumzuia muIsrael.
Tena na hivi sasa wamekata tamaa kuhusu mateka wao 🤔🤔 yaani hakuna rangi ya Palestine tena, kote ni bendera za Israel kuanzia mpaka wa Misri hadi lebanoni....
Wenzako wamepandisha bendera huko Rafah, unajua maana ya kupandisha bendera?Hufuatilii habari mkuu.
Wiki tu mbili zilizopita Lebanon Hizbollah wamelipua tena kambi ya jeshi ya Galilee na makazi wa raia kaskazini mwa Israel.
Kaskazini mwa Israel kumefanyika tena escalation.
Houthi wamepanga kuongeza operation ya kuzuia meli ziendazo Israel mpaka bahari ya Mediterranean,hivi sasa Eilat port haifanyi kazi kwasababu mpaka sasa red sea imefungwa na Houthi.
Iran kwa mara ya kwanza toka 1990s imefanya operation ya international waters kuzunguka mediterranena sea na jeshi lake la maji.
Ushajiuliza wamepanga nini!?
Nakusisitiza vita bado mbichi kadri Israel anavyozidisha agression Palestina/Gaza basi ndivyo kadri escalation/tension inavyoongezeka middle east!?
Je una habari kuwa kuna resistance group limeundwa Bahrain na wiki iliyopita walifanya direct rocket strike toka Bahrain kwenda Eilat!?
NAKUSISITIZA MKUU FUATILIA HABARI.
Mkuu kupandishwa bendera hata Lebanon zilipandishwa na kushushwa.Wenzako wamepandisha bendera huko Rafah, unajua maana ya kupandisha bendera?
Na hiyo ni jana na juzi, vp leo?