Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi. Angalia pasipoti zao.
Adui wakubwa wa Israeli ni wasema ukweli.
Hivi ni vita dhidi ya Hamas wanasema bahati nzuri wanauwana wao kwao ambao wanajiona wana haki ya kuishi tofauti na watoto wa Palestina.
View: https://x.com/gozukarafurkan/status/1774915378113556828?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw%5B/URL