Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi

That's programming system nothing more. Hizo zinaitwa Hadith
Qur'an 39:23. Mwenyezi Mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, Kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu Mola wao Mlezi. Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Huo ndio uwongofu wa Mwenyezi Mungu, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Mwenyezi Mungu kupotea, basi hapana wa kumwongoa. 23
 
Uongo mtupu.
 
Aya za kuran zinachekesha sana.. kwahiyo Allah anaweza akakutia motoni akitaka na akakuweka peponi akitaka.. what is a point kuswali kila siku kumbe asipotaka anakutia motoni.. stupid cult.

Lete na ile Aya inayochekesha zaidi kuwa usipofanya dhambi Allah anakuondoa na kukureplace na watu wengine wanaotenda maovu kisha watubu kwani Allah anapenda kuombwa msamaha.. hahahaha uislam ni comedian mtupu.. kila Aya inachekesha
 
Sisi inatuhusu nini bahati nzuri wameuwana wao kwa wao.

Hours later and the IDF says it is still investigating what took place.

WCK, as part of deconfliction, will have provided the IDF with coordinates for this operation.

The only investigating the IDF is doing right now is how to publish a lie the West can get behind.
 
Bomu la Hamas limewaua wafanyakazi wa misaada"

- Israeli

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo ni Allah kwangu Mimi hatuna Mungu mwingine zaid ya Mungu wa Israel. So hiz hadith endeleen kuhadithiana
 


View: https://youtu.be/oh_OhUeXcZk?si=tMW-oghyqF5Q3yC5
 
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema leo kwamba Idara ya Mambo ya Nje na Biashara ya nchi hiyo imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia.

Franckom ni mmoja wa wafanyakazi wanne wa kimataifa wa Jiko Kuu la Dunia (WCK) waliouawa jana usiku katika shambulio la anga la Israel huko Deir el-Balah.
 
Australia si alijiunga na ile operation ya kupambana na hudhi ngoja tuone .wakiwaqmbiq hao jamaa ni mashetani huwa hawaelewi
 
Mazayuni wana haha, Hamas hawawaoni kila wanapowatafuta, mazqyuni kwa hasira wameamua kuuwa chochote kinachokatiza.

Vijana wa Al Qassam kimyaaa, wakichomoza, wananyofoa wawili watatu wanajichimbia tena.
Wanajichimbia huku nyuma wameacha mama zao watoto wao na dada zao wanakipata cha moto na Bado unawaita mashujaa hivi unakua na akili timamu?

Nguzo kubwa ya soldier (hii utaona ata Kama umepita JKT tu japo kwa mafunzo ya mujibu) ni kumjengea ideology ya kupenda nchi na Raia Wake kuliko nafsi yake inashangaza hawa wanawaacha mama zao wanachakazwa wao wapo mashimoni

Sasa wanapigania kitu gani?
 
Si tumeona hao dada zao wameuliwa, alitetereka mtu?
 
Si tumeona hao dada zao wameuliwa, alitetereka mtu?
Sasa kelele za kila siku kuhusu ceasefire zinatoka wapi kama kuuwawa kwa watoto wanawake wazee wa Palestine Hakuna shida yoyote Kwao ni sawa TU?
 
Ngano, Sound na fix za mudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…