Israel imezuia Google map kuonyesha kambi iliyochakazwa

Nimeona video. Makombora yalioanguka hayakutengeneza second explosions hii inamaana yalianguka katika mchanga na sio katika millitary target.
Israel hua hadungui kila kombora wakilifatilia kombora wakiona litaenda kuangukia katika eneo lisilo la kiraia au eneo la wazi huwa wanayaacha hayo makombora yaanguke. Mfumo unatumia gharama kubwa ku intercept. Ndo maana unaona makombora yaliachwa..
 
Watapewa zingine na Mabasha zao.
 
Madhara ya vita huwa hayajajifichi,, ndege za F-35 huwezi kuzilipua kwa makombora kizembe, pia watu hawajui Iron Don inazuia makombora toka kwa hamasa na Lebanon shirt range. Lakini Israel bado ina mifumo bora ya kuzuia makombora ya masafa marefu Arorow 2&3 ambayo ni sawa na S 300 na s 400 ya Russia, pia ina David Sling .
 
Pole sana kwa kundi la wanamgambo wa Israel kwa kupigiwa kambi zao za kigaidi na Iran.
Wao wafiche tu sisi haituhusu ila wameshapata ujumbe kuwa Iran anauwezo wa kupiga sehemu yoyote ndani ya Israel
 
Kazi nzuri, ''nguvu moya''
 
Wayemeni wakishakula gomba lao wanabadili tu, mara wanatuma drones๐Ÿ‘‡๐Ÿพ


View: https://youtu.be/uHGNPtr4ZWA?si=N7EVcqTD9FKQ2rOD
 
Iron dome haikudizainiwa kuzuia makombora kama haya.

Hili kombora lina speed ambayo iron dome haiwezi hata kulidetect.

Iron dome ni kwa ajiri ya viroketi vya mkono tu.
Kazi nzuri toka kwa....

View attachment 3113888


Fattah-2, Kiboko ya Iron Dome
Inaonekana katika defense system yao mnachokijua ni Iron Dome pekee. Hizo F35 mnazosema zimeteketezwa ndiyo zinaenda kuwateketeza.

Mnadhani wao ni wajinga? Iran mwenyewe anasema ameshambulia zinazo park, kama google wanaweza wakawa na access na hizo base basi Iran wenyewe wangetoa picha ya hizo F-35 zikiwa zime park kuonyesha kuwa masaa kadhaa kabla ya kushambulia F-35 zilikuwepo hapo.
Ukikimbilia kutumia teknolojia kichwakichwa bila kuwa na uelewa utaishia kuwa mjinga. Awali, google map ilikuwa inaonyesha mitaa, lakini kambi za jeshi ilikuwa inazi blur. Baadaye ikawa inazionyesha ila kuna nchi ilizuia zisionyeshwe, hata Tanzania kuna maeneo yapo blurred.
Hiyohiyo google map inaweza ikakuonyesha mitaa na nyumba na watu lakini plates numbers huwa zinakuwa blurred.
Israel ni kati ya nchi ambazo maeneo ya kambi zao yapo blurred sasa wewe kwa kuwa umeliona hilo leo basi unakuja na story zenu za kawaida
 
Iron dome haikudizainiwa kuzuia makombora kama haya.

Hili kombora lina speed ambayo iron dome haiwezi hata kulidetect.

Iron dome ni kwa ajiri ya viroketi vya
Netanyahu arudishe tuone uanaume wake. Mngese yule anaua raia target za kulenga hana.
 
Hawana ujanja bila ma-pdidy zao.
 
Hagari wakati anatoa speech jana alikuwa anatetemeka , unajua ni kwanini ? hakuamini kilichotokea

Fattah-2 zime evade Iron Dome na kupiga, kwa maana Israel iko UCHI kwa Iran

IDF wana censor chochote kinachotoka nje ya Israel

Lugha pekee Netanyahu anayoielewa ni barrage of Fattahs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ