Israel imezuia Google map kuonyesha kambi iliyochakazwa

Hapo ndio zilikua zina paki
Haya waambie waonyeshe basi maana walisema wameyadaka yote ila ulimwengu mzima wameona vitu vilivyo tua tena live.
Dunia imeanza kuchangamka
Alipiga mkwara UN yeye haogopi mtu yoyote watu wakamuita Iran pembeni wakamwambia analeta dharau huyu dogo hebu mkanye kidogo.
 
Kama kawaida magaidi kwenda kujificha Kwa kina mama na watoto safari hii mkijificha mjue mmewapoza tunalipua tu hapo hapo magaidi mfe na kinamama god bless taifa teule Israel
 
Pole sana kwa kundi la wanamgambo wa Israel kwa kupigiwa kambi zao za kigaidi na Iran.
Wao wafiche tu sisi haituhusu ila wameshapata ujumbe kuwa Iran anauwezo wa kupiga sehemu yoyote ndani ya Israel
Israel imekua wanamgambo 🀣🀣 kobaz boys bana
 
Oh kumbe. Mimi umadhani hata majes naksi hayo mambo? Nachangia tu ili usingizi unipiie.
Ahsante sana kwa ilim uliyonipa mkuu
 
Kama kawaida magaidi kwenda kujificha Kwa kina mama na watoto safari hii mkijificha mjue mmewapoza tunalipua tu hapo hapo magaidi mfe na kinamama god bless taifa teule Israel
Mnalipua we ukiwa namtumbo. Huwa mnakuwa na zoom meetings au mnawasiliana kwa Teams kupanga mikakati ya vita

Kweli kuna waTanzania mmelogwa asee. Ndio mahaba yamepamba kiasi hiki?
 
Piga kambi za jeshi kama mwenzio usiue watoto , ewe mgalatia sheria za vita watoto na wanawake hawahusiki ...
Magaidi wenu wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ila upande wa israel wanawatumia iron dome na raia wanajificha kwenye mashelta iran itawapata wapi iwaue
 
Siku hiyo hiyo David na arrow zilizimwa ? Maana hazikufanya kazi but nijuacho mm hakuna mfumo unaweza kuzuia ballistic missile zikiwa nyingi, coz zinasababisha jamming
 
Magaidi wenu wanawatumia wanawake na watoto kama kinga ila upande wa israel wanawatumia iron dome na raia wanajificha kwenye mashelta iran itawapata wapi iwaue
Nan gaidi sasa? Ebu kuweni na aibu gaidi anajulikana . πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…