Israel imezuia Google map kuonyesha kambi iliyochakazwa

Sababu hawahusiki na vita ..piga kambi za jeshi uwa wanajeshi ... Only a coward would retailiate kwa kuua wanawake na watoto ..
Baadae mnakuja na mada wanawake na watoto
 
Kama kawaida magaidi kwenda kujificha Kwa kina mama na watoto safari hii mkijificha mjue mmewapoza tunalipua tu hapo hapo magaidi mfe na kinamama god bless taifa teule Israel
Mnalipua au sio!?
😂😂😂
Unaweza kuta una bendera ya Israel umeitundika chumbani kwako hapo.
 
Akuna nchi yeyote ile ukiangalia Google map- kama utaona sehem ya jesh. Iran kweli alilenga vituo vya kijeshi vya Israel lakini vyote avisomi Google Map! Ikumbukwe kuwa Mwanzilishi wa Google map ni Irsael- ambae ndo pia mwanzilishi wa Mizinga inayofuata Google Coordnate aiingii akilini Israel kuwa muhanga wa kupigwa kwa silaha zinazofuata Google map Coordnate. Israel ana aina 3 za system za kutungua mizinga ya adui juu kwa juu ikiwemo Iron dome. Kumbuka kuwa iron dome na hizi system zingine zina detect na kutuma mzinga wa kulipua mizinga ya adui in seconds- (labda waishiwe ya kuload kwenye hizi systems) so waliweza kuitungua karibia yote na pia hizi system zinatumia Al so kama mzinga wa Iran unaenda tua sehemu ambayo aina Jengo aijisumbui kuidondosha, Yenyewe inadondosha mizingi ambayo itadondoka penye makazi au sehem nyeti. Kuna mzinga mmoja ulidondoka kama nusu KM na ofisi za Mossad- hii sio bahati mbaya(wrong coordinates reading by Iran Missile Computer guided system🤣)
 

Attachments

  • IMG_9052.jpeg
    68.6 KB · Views: 2
  • IMG_9053.jpeg
    437.6 KB · Views: 2
Israel mbali na Iron Dome ana zingine 2 ambazo zina uwezo wa kuzuia mabomu ata toka 3000 KM
 

Attachments

  • IMG_9064.jpeg
    440.9 KB · Views: 2
Hii kitu si wayahudi/wakristo wa mbandalile wala waislamu/waarabu wa mwanambaya wanajua.

Ule mfumo ni wa gharama kubwa, kama target ya kombora si kwa raia, kombora linaachwa likalipuke tuu, na kitaalamu kunakuwa hakuna mlipuko wa pili.

Ngoja waje waajemi wa shehe mla mchuzi wa hotchair usikie hapa.
 
90% ya makombora yame hit target, Netanyahu hawezi akakwambia hii habari
🤣🤣🤣 Sio kiraisi hivyo🤣🤣🤣 Picha za ndege zilizounguwa zipo wapi??
 

Attachments

  • IMG_9056.png
    52.3 KB · Views: 2
  • IMG_9050.jpeg
    392.3 KB · Views: 2
  • IMG_9038.jpeg
    48.2 KB · Views: 3
  • IMG_9034.jpeg
    81.6 KB · Views: 1
  • IMG_9029.jpeg
    127.9 KB · Views: 1
  • IMG_8956.jpeg
    101.4 KB · Views: 1
  • IMG_8922.jpeg
    34.6 KB · Views: 1
  • IMG_8876.jpeg
    118 KB · Views: 1
  • IMG_8875.jpeg
    194.5 KB · Views: 2
Hii aina ushabiki- kama Kombora linapoenda angukia akuna madhara! System ya Iron dome/ au hizi zingine mbili azijishughulishi nalo inalipotezea likajiangukie huko mabwe pande kwenye miti, au mchangani
 

Attachments

  • IMG_9057.png
    43.1 KB · Views: 2
  • IMG_9058.png
    60.6 KB · Views: 2
  • IMG_9059.png
    42.9 KB · Views: 2
Je hua zinalipuliwa na nn ili zilipuke ndege za f 35?
 
🤣🤣🤣 Sio kiraisi hivyo🤣🤣🤣 Picha za ndege zilizounguwa zipo wapi??
Komando wa Israel wanauwawa kama kuku huko boda Lebanon
 

Attachments

  • _uD83D_uDEA8_uD83C_uDDEE_uD83C_uDDF1_Israel’s_invasion_is_not_going_well._Maybe_they_should_st...mp4
    4.4 MB
  • IMG_20241003_155026.jpg
    113.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…