Israel ina kiherehere sana mpaka inatia aibu

Israel ina kiherehere sana mpaka inatia aibu

wewe anza kwanza kulichukia taifa la Libya. mwaka 1972 Qadafi alitangaza public holiday ya siku mbili na kuomba waarabu wote wajipange barabarani kugusa majeneza ya wapalestina ambao waliwauwa wanamichezo 12 wa wa israel katika munich Olyimpic.chuki waliyonayo waarabu kwa waisrael ni kinyume kabisaa na ubinadamu. Ni chuki mbaya sana.sasa chuki hii walitaka kuisambaza kwa wafrica weusi africa nzima kupitia utawala wa chama kimoja ulikuwa fashio ya kiutawala barani africa kabla ya rise and fall of communisim. Israel na Saudi arabia wako katika ya mazungumzo mazuri ya kufanikia ujirani mwema na kupeana ubalozi. Saudi arabia akirudisha tuu uhusiano wa kibalozi na israel basi middle east yote itabadilika na kubadili sura nzima ya uchumi wa dunia. hapata kuwa tena na chuki za kidini duniani, wala mipaka ya kuitenga Israel midle east. Huyuhuyo Qadafi aliwahi kutangaza public holiday walibya wote wakae mitaani kushangilia kifo cha Sadat.
Yaani hapo kila kitu unachoona ni amani ni kwa kukubaiiwa Israel ifungue ubalozi na kuwa na uhusiano mzuri na waarabu.Hujiulizi kwanini anatumia ujanja na dharau badala ya kutekeleza matakwa ya hao majirani zake.Nani atakuwa tayari kurudisha uhusiano nayo wakati kila siku wanazidi kuwanyang'anya wapalestina maeneo yao.
 
Back
Top Bottom