Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatosha sana tukisema kwamba hatuna akili basiAngalia!
~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu.
~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo ifaayo kwa kilimo.
Ingawa asilimia 49.7 ya ardhi yetu inafaa kwa kilimo, inayotumika kwa kilimo ni chini ya asilimia 35.
~ Wakati Israel inazalisha zaidi ya asilimia 90 ya chakula chake, Tanzania ingali ikikabiliwa na upungufu wa chakula. Kuna miaka iliilazimu Serikali kutoa chakula cha msaada kwa baadhi ya raia wake kwa ajili ya kukabiliana na baa la njaa.
Kwa jinsi tulivyo na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, vyanzo vya uhakika vya maji kama maziwa, mito, n.k., ilistahili Tanzania iwe na uwezo wa kuihudumia alau Afrika Mashariki yote kwa chakula.
Hata Israel, ilipaswa kuja kujifunza masuala ya kilimo Tanzania, lakini imekuwa kinyume chake.
Miaka ya sabini, Israel ilianzisha skimu ya umwagiliaji nchini Tanzania, mradi ambao ulisitishwa baadaye baada ya baba wa Taifa, Mwl J. K. Nyerere kuuvunja uhusiano na Israel.
Hata sasa, kuna Watanzania nchini Israel wanaojifunza shughuli za kilimo na ufugaji wa kisasa.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Ccm siyo ya kulaumu ccm ni miongoni mwetu tu ni kwamba hatuna akili tu hakuna zaidiSisi tunavyo vingi kuwazidi ila kinacho sababisha wao kutuzini ni kimojawapo ambacho sisi tunacho ila wao hawana...nacho ni CCM
Matokeo ya kuwa na Katiba mbovuWametuzidi teknolojia
Kongo ina madini yote Japan haina lakini wana teknolojia za kugeuza hayo madini yawe simu,magari nk
Waafrika tunasshindwa kwa kukosa teknolojia
Israel wako juu hata kwenye jangwa wanaxalisha mazao mengi hasa
Katiba mbovu iliyopitishwa na nyerere itaitesa sana hii nchi kwa kipindi kirefu sanaCcm siyo ya kulaumu ccm ni miongoni mwetu tu ni kwamba hatuna akili tu hakuna zaidi
Kama ccm ni shida sisi wenye akili tusio ccm tungeiondoa pale
Mfano umeona mishipa ya roho inavyowatoka wana simba huko walipo kwa sasa
Umejiuliza kwanini hawapo hivyo katika mambo ya msingi
Ni akili tu hakuna siyo zaidi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwa kufanya ugaidiImewasaidiaje kufanya vizuri katika kilimo?
Wao Israel wana akili na wanazitumia ipasavyo.Angalia!
~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu.
~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo ifaayo kwa kilimo.
Ingawa asilimia 49.7 ya ardhi yetu inafaa kwa kilimo, inayotumika kwa kilimo ni chini ya asilimia 35.
~ Wakati Israel inazalisha zaidi ya asilimia 90 ya chakula chake, Tanzania ingali ikikabiliwa na upungufu wa chakula. Kuna miaka iliilazimu Serikali kutoa chakula cha msaada kwa baadhi ya raia wake kwa ajili ya kukabiliana na baa la njaa.
Kwa jinsi tulivyo na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, vyanzo vya uhakika vya maji kama maziwa, mito, n.k., ilistahili Tanzania iwe na uwezo wa kuihudumia alau Afrika Mashariki yote kwa chakula.
Hata Israel, ilipaswa kuja kujifunza masuala ya kilimo Tanzania, lakini imekuwa kinyume chake.
Miaka ya sabini, Israel ilianzisha skimu ya umwagiliaji nchini Tanzania, mradi ambao ulisitishwa baadaye baada ya baba wa Taifa, Mwl J. K. Nyerere kuuvunja uhusiano na Israel.
Hata sasa, kuna Watanzania nchini Israel wanaojifunza shughuli za kilimo na ufugaji wa kisasa.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Vipi kuhusu makaburu wa SA ?Akili ndiyo wanachotuzidi,hata mimi ninafahamu kabisa wamenizidi akili but sielewi nijinasue vipi!nadhani mazingira ya Afrika hayasupport watu wenye akili kuishi!
Bora Magufuli angebaki atunyanyase tuwe na akili upya
Angalia!
~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu.
~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo ifaayo kwa kilimo.
Ingawa asilimia 49.7 ya ardhi yetu inafaa kwa kilimo, inayotumika kwa kilimo ni chini ya asilimia 35.
~ Wakati Israel inazalisha zaidi ya asilimia 90 ya chakula chake, Tanzania ingali ikikabiliwa na upungufu wa chakula. Kuna miaka iliilazimu Serikali kutoa chakula cha msaada kwa baadhi ya raia wake kwa ajili ya kukabiliana na baa la njaa.
Kwa jinsi tulivyo na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, vyanzo vya uhakika vya maji kama maziwa, mito, n.k., ilistahili Tanzania iwe na uwezo wa kuihudumia alau Afrika Mashariki yote kwa chakula.
Hata Israel, ilipaswa kuja kujifunza masuala ya kilimo Tanzania, lakini imekuwa kinyume chake.
Miaka ya sabini, Israel ilianzisha skimu ya umwagiliaji nchini Tanzania, mradi ambao ulisitishwa baadaye baada ya baba wa Taifa, Mwl J. K. Nyerere kuuvunja uhusiano na Israel.
Hata sasa, kuna Watanzania nchini Israel wanaojifunza shughuli za kilimo na ufugaji wa kisasa.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Uafrika hasa utanzania ni laana.Hii ngozi kama ina laana vile.
Wakati wenzetu wanapambania taifa, sie kiongozi anapambania kesho yake na wanawe.
Yeye mwenyewe hakuiona?Katiba mbovu iliyopitishwa na nyerere itaitesa sana hii nchi kwa kipindi kirefu sana
Hii komenti yako imenifikirisha sana.Akili ndiyo wanachotuzidi,hata mimi ninafahamu kabisa wamenizidi akili but sielewi nijinasue vipi!nadhani mazingira ya Afrika hayasupport watu wenye akili kuishi!
Ubunifu ni inborn characters,Makaburu huwezi kuwafananisha na Wazulu au xhosa kwa suala la creativity hata wakiishi sehemu moja kwa muda mrefu!nahisi Mungu kamuumba mtu mweusi kwa tofauti kabisa na race zingine!Vipi kuhusu makaburu wa South Africa
Ugaidi upo upi Israel haijawahi kuichokoza taifa lolote?Israeli ni nchi ya kigaidi hicho tu ndo walichonacho ambacho sisi hatuna.