Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Hivi wanaoichukia Israel huwa wanapata faida gani?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃Akili ndiyo wanachotuzidi,hata mimi ninafahamu kabisa wamenizidi akili but sielewi nijinasue vipi!nadhani mazingira ya Afrika hayasupport watu wenye akili kuishi!
Hapana mkuu. Utanzania si laana.Uafrika hasa utanzania ni laana.
Aisee! Umenikumbusha mbali sana mkuu!
Nyinyi mnajua kulima sasa mkuu??Angalia!
~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu.
~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo ifaayo kwa kilimo.
Ingawa asilimia 49.7 ya ardhi yetu inafaa kwa kilimo, inayotumika kwa kilimo ni chini ya asilimia 35.
~ Wakati Israel inazalisha zaidi ya asilimia 90 ya chakula chake, Tanzania ingali ikikabiliwa na upungufu wa chakula. Kuna miaka iliilazimu Serikali kutoa chakula cha msaada kwa baadhi ya raia wake kwa ajili ya kukabiliana na baa la njaa.
Kwa jinsi tulivyo na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, vyanzo vya uhakika vya maji kama maziwa, mito, n.k., ilistahili Tanzania iwe na uwezo wa kuihudumia alau Afrika Mashariki yote kwa chakula.
Hata Israel, ilipaswa kuja kujifunza masuala ya kilimo Tanzania, lakini imekuwa kinyume chake.
Miaka ya sabini, Israel ilianzisha skimu ya umwagiliaji nchini Tanzania, mradi ambao ulisitishwa baadaye baada ya baba wa Taifa, Mwl J. K. Nyerere kuuvunja uhusiano na Israel.
Hata sasa, kuna Watanzania nchini Israel wanaojifunza shughuli za kilimo na ufugaji wa kisasa.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Huenda ikawa sababu mojawapo.Matokeo ya kuwa na Katiba mbovu
Sasa kama una akili ungeikumbatia hiyo CCM unayoulalamikia? Kule Israel kuna chadema?Sisi tunavyo vingi kuwazidi ila kinacho sababisha wao kutuzini ni kimojawapo ambacho sisi tunacho ila wao hawana...nacho ni CCM
Mimi siamini kuwa ni suala la kijenetic, bali ya kitabia.Ubunifu ni inborn characters,Makaburu huwezi kuwafananisha na Wazulu au xhosa kwa suala la creativity hata wakiishi sehemu moja kwa muda mrefu!nahisi Mungu kamuumba mtu mweusi kwa tofauti kabisa na race zingine!
Walio maskini barani Afrika siyo watu wenye asili ya Asia au Ulaya bali ni watu weusi (indigenous),wanaolitia bara hili umasikini ni watu weusi kwa kukosa akili.
Nidhamu aka disciplineAngalia!
~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu.
~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo ifaayo kwa kilimo.
Ingawa asilimia 49.7 ya ardhi yetu inafaa kwa kilimo, inayotumika kwa kilimo ni chini ya asilimia 35.
~ Wakati Israel inazalisha zaidi ya asilimia 90 ya chakula chake, Tanzania ingali ikikabiliwa na upungufu wa chakula. Kuna miaka iliilazimu Serikali kutoa chakula cha msaada kwa baadhi ya raia wake kwa ajili ya kukabiliana na baa la njaa.
Kwa jinsi tulivyo na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, vyanzo vya uhakika vya maji kama maziwa, mito, n.k., ilistahili Tanzania iwe na uwezo wa kuihudumia alau Afrika Mashariki yote kwa chakula.
Hata Israel, ilipaswa kuja kujifunza masuala ya kilimo Tanzania, lakini imekuwa kinyume chake.
Miaka ya sabini, Israel ilianzisha skimu ya umwagiliaji nchini Tanzania, mradi ambao ulisitishwa baadaye baada ya baba wa Taifa, Mwl J. K. Nyerere kuuvunja uhusiano na Israel.
Hata sasa, kuna Watanzania nchini Israel wanaojifunza shughuli za kilimo na ufugaji wa kisasa.
Kwa nini imekuwa hivyo?
✅🙏Nidhamu aka discipline
Ccm ni chujio la wenye akili na hekima nna wazalendo ...hao wanatupwa nje ya ccm ni vigumu ndani ya ccm kukuta mtu mwenye hayo mambo maana ndani ya ccm wapumbavu ndiyo wanatakiwa hivyo ukiwa na akili ni lazima ujifanye mpumbavu kama wao ili uishi kwa amani na furaha na kupewa sifa njema ndani ya chama ....MAADUI wa ccm ni HAKI , AKILI ,UZALENDO ,HEKIMA . Sasa chama cha namna hiyo unasemaje hakina hatia .....ndiyo maana magufuli alisema ....walidhsni nitakuwa part of them....maana yake alimaanisha walidhani atakuwa adui wa hayo niliyo sema hapo.Ccm siyo ya kulaumu ccm ni miongoni mwetu tu ni kwamba hatuna akili tu hakuna zaidi
Kama ccm ni shida sisi wenye akili tusio ccm tungeiondoa pale
Mfano umeona mishipa ya roho inavyowatoka wana simba huko walipo kwa sasa
Umejiuliza kwanini hawapo hivyo katika mambo ya msingi
Ni akili tu hakuna siyo zaidi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wenye akili siku zote ni wachache sana duniani ni chini ya asilimia 4 tu ya watu wote duniani hivyo taifa lisipokuwa na njia bora za kuwainua wenye akili kuwa viongozi wakajidanganya kutegemea democracy tu basi siku zote taifa litazama nchi kama marekani ukigundulika kuwa na akili hata kama aujaenda shule wanakuinua.Ccm siyo ya kulaumu ccm ni miongoni mwetu tu ni kwamba hatuna akili tu hakuna zaidi
Kama ccm ni shida sisi wenye akili tusio ccm tungeiondoa pale
Mfano umeona mishipa ya roho inavyowatoka wana simba huko walipo kwa sasa
Umejiuliza kwanini hawapo hivyo katika mambo ya msingi
Ni akili tu hakuna siyo zaidi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana mwana wa mfalme aliyekuja majuzi kwa mgongo wa bandari ameonyeshwa fursa hapa kwetu kwa maana kama kwao hakuna ardhi basi waje huku kwa kisingizio cha uwekezaji, lakini ipo siku watacheza na akili yetu kwakuwa ni kama hatujitambui na wabunge wetu ni corrupt hivyo yatakuja ya Israel na PalestinaAngalia!
~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu.
~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo ifaayo kwa kilimo.
Ingawa asilimia 49.7 ya ardhi yetu inafaa kwa kilimo, inayotumika kwa kilimo ni chini ya asilimia 35.
~ Wakati Israel inazalisha zaidi ya asilimia 90 ya chakula chake, Tanzania ingali ikikabiliwa na upungufu wa chakula. Kuna miaka iliilazimu Serikali kutoa chakula cha msaada kwa baadhi ya raia wake kwa ajili ya kukabiliana na baa la njaa.
Kwa jinsi tulivyo na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, vyanzo vya uhakika vya maji kama maziwa, mito, n.k., ilistahili Tanzania iwe na uwezo wa kuihudumia alau Afrika Mashariki yote kwa chakula.
Hata Israel, ilipaswa kuja kujifunza masuala ya kilimo Tanzania, lakini imekuwa kinyume chake.
Miaka ya sabini, Israel ilianzisha skimu ya umwagiliaji nchini Tanzania, mradi ambao ulisitishwa baadaye baada ya baba wa Taifa, Mwl J. K. Nyerere kuuvunja uhusiano na Israel.
Hata sasa, kuna Watanzania nchini Israel wanaojifunza shughuli za kilimo na ufugaji wa kisasa.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Uadilifu na uzalendo ni mojawapo wa maadui no 1 CCMWaIsrael wametuzidi Uadilifu na Uzalendo kwa nchi yao.Hapa kwetu.kila anayepata nafasi anajiwazia YEYE siyo NCHI.
Angalia!
~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu.
~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo ifaayo kwa kilimo.
Ingawa asilimia 49.7 ya ardhi yetu inafaa kwa kilimo, inayotumika kwa kilimo ni chini ya asilimia 35.
~ Wakati Israel inazalisha zaidi ya asilimia 90 ya chakula chake, Tanzania ingali ikikabiliwa na upungufu wa chakula. Kuna miaka iliilazimu Serikali kutoa chakula cha msaada kwa baadhi ya raia wake kwa ajili ya kukabiliana na baa la njaa.
Kwa jinsi tulivyo na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, vyanzo vya uhakika vya maji kama maziwa, mito, n.k., ilistahili Tanzania iwe na uwezo wa kuihudumia alau Afrika Mashariki yote kwa chakula.
Hata Israel, ilipaswa kuja kujifunza masuala ya kilimo Tanzania, lakini imekuwa kinyume chake.
Miaka ya sabini, Israel ilianzisha skimu ya umwagiliaji nchini Tanzania, mradi ambao ulisitishwa baadaye baada ya baba wa Taifa, Mwl J. K. Nyerere kuuvunja uhusiano na Israel.
Hata sasa, kuna Watanzania nchini Israel wanaojifunza shughuli za kilimo na ufugaji wa kisasa.
Kwa nini imekuwa hivyo?
wayahudi wana akili/maarifa. Kumbuka baa la njaa wakati limetokea Egypt na dunia nzima many years ago ni myahudi aitwaye Yusufu wa biblia ndiye aliyemsaidia Farao kumpa akili jinsi ya nini cha kufanya. na ndipo banking system ilianza hapa. Hapo ndipo pensions funds zilianza,.Angalia!