Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

Waisrael wanatuzidi AKILI
Hii ngozi kama ina laana vile.

Wakati wenzetu wanapambania taifa, sie kiongozi anapambania kesho yake na wanawe.
Wana maubongo yanayofanya kazi na kufikiri kwa kiwango cha juu.
"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa watu weusi katika mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri, endapo kama tungewajumuisha, wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."
Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi.
 
Back
Top Bottom