Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

Inatosha sana tukisema kwamba hatuna akili basi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sisi tunavyo vingi kuwazidi ila kinacho sababisha wao kutuzini ni kimojawapo ambacho sisi tunacho ila wao hawana...nacho ni CCM
Ccm siyo ya kulaumu ccm ni miongoni mwetu tu ni kwamba hatuna akili tu hakuna zaidi
Kama ccm ni shida sisi wenye akili tusio ccm tungeiondoa pale
Mfano umeona mishipa ya roho inavyowatoka wana simba huko walipo kwa sasa
Umejiuliza kwanini hawapo hivyo katika mambo ya msingi
Ni akili tu hakuna siyo zaidi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Katiba mbovu iliyopitishwa na nyerere itaitesa sana hii nchi kwa kipindi kirefu sana
 
Wao Israel wana akili na wanazitumia ipasavyo.

Sisi akili hatuna au tunazo kidogo sana na hasa viongozi wetu. Na hata hizo kidogo tulizonazo tunakatazwa kuzitumia.
 

Inawazidi kwa sababu nyinyi hamtaki kulima!
 
Akili ndiyo wanachotuzidi,hata mimi ninafahamu kabisa wamenizidi akili but sielewi nijinasue vipi!nadhani mazingira ya Afrika hayasupport watu wenye akili kuishi!
Hii komenti yako imenifikirisha sana.

Robert Mugabe aliwahi kusema kwamba

"Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0 "

Yani kuzaliwa Africa tu, Tayari ni kikwazo namba moja cha mafanikio ya mtoto.

Mifumo mibovu inaua ndoto na vipaji vya vijana wengi.
 
Vipi kuhusu makaburu wa South Africa
Ubunifu ni inborn characters,Makaburu huwezi kuwafananisha na Wazulu au xhosa kwa suala la creativity hata wakiishi sehemu moja kwa muda mrefu!nahisi Mungu kamuumba mtu mweusi kwa tofauti kabisa na race zingine!

Walio maskini barani Afrika siyo watu wenye asili ya Asia au Ulaya bali ni watu weusi (indigenous),wanaolitia bara hili umasikini ni watu weusi kwa kukosa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…