Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

Nyinyi mnajua kulima sasa mkuu??
 
Sisi tunavyo vingi kuwazidi ila kinacho sababisha wao kutuzini ni kimojawapo ambacho sisi tunacho ila wao hawana...nacho ni CCM
Sasa kama una akili ungeikumbatia hiyo CCM unayoulalamikia? Kule Israel kuna chadema?
Ambacho huna ni akili ndo maana ukawa na CCM.
 
Mimi siamini kuwa ni suala la kijenetic, bali ya kitabia.

Kwamba, wakati Wazungu wakiwafundisha watoto wao kuwa na ubunifu wenye tija tokea wakiwa wadogo, Waafrika wengi wanafanya kinyume chake.
 
Nidhamu aka discipline
 
Kuna dudu moja baya sana linaitwa ccm hiki chama ni cha mambuzi
 
Ccm ni chujio la wenye akili na hekima nna wazalendo ...hao wanatupwa nje ya ccm ni vigumu ndani ya ccm kukuta mtu mwenye hayo mambo maana ndani ya ccm wapumbavu ndiyo wanatakiwa hivyo ukiwa na akili ni lazima ujifanye mpumbavu kama wao ili uishi kwa amani na furaha na kupewa sifa njema ndani ya chama ....MAADUI wa ccm ni HAKI , AKILI ,UZALENDO ,HEKIMA . Sasa chama cha namna hiyo unasemaje hakina hatia .....ndiyo maana magufuli alisema ....walidhsni nitakuwa part of them....maana yake alimaanisha walidhani atakuwa adui wa hayo niliyo sema hapo.
 
Wenye akili siku zote ni wachache sana duniani ni chini ya asilimia 4 tu ya watu wote duniani hivyo taifa lisipokuwa na njia bora za kuwainua wenye akili kuwa viongozi wakajidanganya kutegemea democracy tu basi siku zote taifa litazama nchi kama marekani ukigundulika kuwa na akili hata kama aujaenda shule wanakuinua.
 
Tanzania mna eneo kubwa la ardhi lakini 80% ya raia akili zenu hamzitumii sawasawa au mnazitumia chini ya kiwango hali inayopelekea mshindwe kuzitumia resources mlizonazo profitably.
 
Ndiyo maana mwana wa mfalme aliyekuja majuzi kwa mgongo wa bandari ameonyeshwa fursa hapa kwetu kwa maana kama kwao hakuna ardhi basi waje huku kwa kisingizio cha uwekezaji, lakini ipo siku watacheza na akili yetu kwakuwa ni kama hatujitambui na wabunge wetu ni corrupt hivyo yatakuja ya Israel na Palestina
 
WaIsrael wametuzidi Uadilifu na Uzalendo kwa nchi yao.Hapa kwetu.kila anayepata nafasi anajiwazia YEYE siyo NCHI.
 
WaIsrael wametuzidi Uadilifu na Uzalendo kwa nchi yao.Hapa kwetu.kila anayepata nafasi anajiwazia YEYE siyo NCHI.
Uadilifu na uzalendo ni mojawapo wa maadui no 1 CCM
 
nimeona wengi wameandika akili lkn si kwel bali jibu ni kuwa na serikali iliyojaa wala rushwa na wabinafsi , pia udini , ukanda na uchama imekuwa kikwazo wapo viongoz walikuja na mipango mizuri tu ila kwasababu za kikanda wamepigwa vita ila vitaa hii ikiwaacha wala rushwa waendelee kutesa mtaani , JPM alipigwa vita sana ila hawa wazee wa billion 42 , daraja la 200M , kibanda cha 11M hakuna aliewapigia kelele , hatutoeza fikia huko kama tutakuwa na ufujaji wa ela kwa watu wachache
 

wayahudi wana akili/maarifa. Kumbuka baa la njaa wakati limetokea Egypt na dunia nzima many years ago ni myahudi aitwaye Yusufu wa biblia ndiye aliyemsaidia Farao kumpa akili jinsi ya nini cha kufanya. na ndipo banking system ilianza hapa. Hapo ndipo pensions funds zilianza,.

Angalia top tech start ups ambazo zimechange mawasiliano ni uvumbuzi wa wayahudi kwa asilimia kubwa sana.
Nenda silicon valley wayahudi wamejazana, wao ndo watu very bright wanarun silliocn valley, wall streets, MIT, Stanford.

Kwenye biashara za dunia wayahudi wamejaa na wana mafanikio makubwa kuliko jamii nyingine yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…